funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
Mwezi ujao tunatimiza miaka mitano ya ndoa na my lovely wife wangu. Je nifanye nn kizuri kama kumbukumbu ya hii siku. Naomba ushauri nifanye nini kizuri kwa mke wangu na familia yangu kwa ujumla sitashirikisha watu wengine kwa hicho nitakachokifanya