netti mimi
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 147
- 108
Hellow habari za uzima wana jf,
Naombeni ushauri nifanye biashara gani ..Stori ni hivi mimi ni mama mama wa miaka28 ninawatoto wawili mmoja 3 na mwingine 2 nilikuwa naishi na uyu mwanaume ila atujafunga ndoa
Na mume wangu anafanya kazi za ujenzi zamani tulikiwa vizuri tu anahudumia familia kuanzia kodi mpaka kula lakn gafla tu huduma zikasitishwa taratibu anaweza Lala uko ata miezi Na asikujuze ukimuliza Ni matusi ..Pia vilevile huu ni mwezi watano toka alivyoniaga anaenda kujenga uko iringa mpaka sasa ajarud na cm ukipiga apokei ukitumia namba mpya anapokea akijua ni wewe anakata anatuma sms ""Nipo bze tafuta utaratibu mwingine"
Kwanza kabla yakuondoka alikuwa tayari kaanza kubadilika ela ya kula anakupa elf mbil apo ndani amna chochote na watoto ni wadogo nikavumilia kunakipindi nilitaka mpk niondoke lakin mama angu nilimweleza anasema vumilia amna ndoa zisizo na changamoto.
Ni mengi siwezi kueleza ila mpk sasa tulipofikia amna ndoa mara ya mwisho nilipiga cm alimpa mdada apokee nilikula matusi na mwanaume akachukua akasema we kama unatak kuondok ondok au kuolewa olewa. Kuhusu watoto nimekupa zawadi yako mimi ninawatoto chingu mzima sina shida nawtoto wako.
Ni mengi siwez sema ...Sasa kilichonileta ni nataka nikachukue mkopo walau elf 50 nifanye biashara ata yakutembeza ilihali nipate chocht kitu chakuishi mimi na watt wangu na kodi ikiisha nihame apa niamia chumba cha bei rahis maana apa tumepanga chumba seble..
Ombi kuu ni mnishauri nifanye biashara gani hata yakutembeza ilihali nipate ela kwaajili yakurudisha huo mkopo na vilevile nipate ela yakulea watoto wangu na hata baadae mkopo ikiisha ndani ya mwezi niwe nimepata mtaji wangu wakuendelea.
Nb kutembea naweza ivyo naomba biashara nzuri yakuweza kutembeza yenye kutoka walau niingize kwasiku pia iyo biashara naomba ilenge kweny mtajiwa elf 50 tu.
Naombeni tu ushauri nifanye biashar gan nawaz nyingi sana ..Alafu pia msinishishue naombn ushauri tu