Petiro
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 309
- 45
Kwenye kuchangia mjadala wa bajeti ya wizara ya ulinzi na kujenga taifa Zitto alitaka kujua tamko la serikali juu ya Meremeta, wazira akapiga chenga ya mwili na mwishoe akasema Mtoto wa Mkulima alishalitolea maelezo. Sasa basi huyu maza akajitia kimbelembele kujipendekeza kwa serikali akaongea upuuzi eti suala la manunuzi ya kijeshi na zana za kijeshi hayapaswi kuzungumza hadharani. Akaongeza "wakati Sarungi akiwa waziri wa ulinzi na JKT na John Samweli akiwa mwkt wa kamati ya ulinzi na mambo ya nje tulishaafikiana na pia naomba mjue HUKO KWNY HIYO KAMATI NDIPO TULIPOKUTANA NA MALECELA NA KUANZA URAFIKI WETU" Sasa kumbe hawa magamba hawazungumzii mambo maana ya kitaifa kwny hizo kamati zao zaidi ya bla blaaa na upuuzi mtupu