Anne Kilango umejitia aibu

huyu maza ni uselessy kabisa jimbo lake halina barabara ya lami hata moja , zaidi ya ile inayopita kwenda arusha,wananchi wake wanaishi maisha duni sana.barabara mbovu sana hasa huko mlimani, hospitalini hakuna madaktari na walimu wanakimbia vituo vyao vya kazi,na keshwadanganya wananchi wake sana. Yupo anamuuguza mmewe tu.
afadhali umetusaidia. Mimi natoka huko kwa muyo maza. Yaani ni shida tupu. Barabara hakuna ni hovyo kabisa ahadi zake za kujenga barabara ziko wapi jamani? Ukipita kwetu mpaka kihurio alikozaliwa ni aibu tupu. Hakuna hospitali na baya kuliko yote jamani barabara........ Hakuna
 
Huyu mama amerudi karibu nchini, alikuwa anamuuguza Mzee Malecela. Na kama sikosei Mzee Malecela kama waziri mkuu mstaafu atakuwa amelipiwa gharama za matitabu na serikali. Kwa hiyo huyu mama tunaweza kusema anatoa shukurani, hata hivyo she does not need to lick people's feet maana Mzee Malecela ni Waziri mkuu mstaafu so he is entitled kulipiwa matibabu.

Cha kushangaza, Mama Kilango-Malecela kama alivyo Stella Manyanya, na Beatrice Shellukindo walikuwa miongoni mwa 12 desciples wa mkakati wa kupambana na mafisadi. Kongozi wa kundi hili akiwa Spika Sitta. If my memory iko sawa bunge lilipita mama Kilango alitoa kauli za kutaka uchunguzi wa mikataba tata na kampuni zake i.e TICS, Richmond etc. Kwake yeye mama Kilango kutaka mambo yasiongelewe kwa sasa ina maana uchunguzi aliokuwa anataka umeshafanyika? na ameridhika na matokeo ya uchunguzi? Ni kitu gani hasa kinachomsukuma mama Makinda kutetea hoja alizokuwa anapinga kwa kelele na nguv kubwa bunge lililopita? Anasimamia nini? na kwa nini wananchi tumuamini?

Mwisho, Mama Makinda alipata umaarufu bunge lilipota kutokana na ujasiri (that's what many thought) wa kuongea na kutetea hoja zenye tija kwa maisha wa Tanzania wote. Lakini naweza kusema tena bila kumumunya maneno, heshma hiyo inashuka kwa kasi kubwa kwa sababu ameanza kula 'matapishi' yake mwenyewe. Na akiendelea hivi DVD yake itakuwa ya kuvutia 2015. Uchaguzi wa 2010 alipata shida kwa watu aliowaita mafisadi lakini 2015 nadhani atapata shida kwa sababu ya kutosimamia yale yote yaliyomjenga.

Kwenye red nadhani unawachanganya.
 
Hivi huyu mama Kilango ule mradi wake wa kusindika Tangawizi unaendeleaje kule jimboni kwake?
 
Kuna kipindi huyu maza alikuwa anaitwa mpiganaji humu jamvini, how comes leo ameteleza kidogo tu mnampa za uso fasta fasta??ooh my.
 
Kwenye kuchangia mjadala wa bajeti ya wizara ya ulinzi na kujenga taifa Zitto alitaka kujua tamko la serikali juu ya Meremeta, wazira akapiga chenga ya mwili na mwishoe akasema Mtoto wa Mkulima alishalitolea maelezo. Sasa basi huyu maza akajitia kimbelembele kujipendekeza kwa serikali akaongea upuuzi eti suala la manunuzi ya kijeshi na zana za kijeshi hayapaswi kuzungumza hadharani. Akaongeza "wakati Sarungi akiwa waziri wa ulinzi na JKT na John Samweli akiwa mwkt wa kamati ya ulinzi na mambo ya nje tulishaafikiana na pia naomba mjue HUKO KWNY HIYO KAMATI NDIPO TULIPOKUTANA NA MALECELA NA KUANZA URAFIKI WETU" Sasa kumbe hawa magamba hawazungumzii mambo maana ya kitaifa kwny hizo kamati zao zaidi ya bla blaaa na upuuzi mtupu
kiufupi huyu maza ni kama ****, hata kama ukilichamba haliachi kunuka. Ana sura ka sokwe aliyemwagiwa unga, ****** kweli ka kiongozi wao wa kuchekacheka( JK)
 
Huyu mama amerudi karibu nchini, alikuwa anamuuguza Mzee Malecela. Na kama sikosei Mzee Malecela kama waziri mkuu mstaafu atakuwa amelipiwa gharama za matitabu na serikali. Kwa hiyo huyu mama tunaweza kusema anatoa shukurani, hata hivyo she does not need to lick people's feet maana Mzee Malecela ni Waziri mkuu mstaafu so he is entitled kulipiwa matibabu.

Cha kushangaza, Mama Kilango-Malecela kama alivyo Stella Manyanya, na Beatrice Shellukindo walikuwa miongoni mwa 12 desciples wa mkakati wa kupambana na mafisadi. Kongozi wa kundi hili akiwa Spika Sitta. If my memory iko sawa bunge lilipita mama Kilango alitoa kauli za kutaka uchunguzi wa mikataba tata na kampuni zake i.e TICS, Richmond etc. Kwake yeye mama Kilango kutaka mambo yasiongelewe kwa sasa ina maana uchunguzi aliokuwa anataka umeshafanyika? na ameridhika na matokeo ya uchunguzi? Ni kitu gani hasa kinachomsukuma mama Makinda kutetea hoja alizokuwa anapinga kwa kelele na nguv kubwa bunge lililopita? Anasimamia nini? na kwa nini wananchi tumuamini?

Mwisho, Mama Makinda alipata umaarufu bunge lilipota kutokana na ujasiri (that's what many thought) wa kuongea na kutetea hoja zenye tija kwa maisha wa Tanzania wote. Lakini naweza kusema tena bila kumumunya maneno, heshma hiyo inashuka kwa kasi kubwa kwa sababu ameanza kula 'matapishi' yake mwenyewe. Na akiendelea hivi DVD yake itakuwa ya kuvutia 2015. Uchaguzi wa 2010 alipata shida kwa watu aliowaita mafisadi lakini 2015 nadhani atapata shida kwa sababu ya kutosimamia yale yote yaliyomjenga.

Mama Makinda au Mama Kilango?
 
mhurumien basi,mbona mnatukana sana!uzee unamsumbua,pia mzee ni mgonjwa,thus anakosa ma-love davi ya mzee,hence she is frustrated
 
Leo imekuwaje tena mnamgeuka? Si JF kulikuwa na thread kibao za kumpongeza kila kukicha?

JF ni mdudu gani huyu? alitoa post wapi kumpongeza huyu mama kwa niaba yangu?

Mbona tunataka kuleta borg-likecollectivization?

Mbunge wajibu wake wa kwanza ni kutumikia wananchi. Huyu mama hawatendei haki wananchi.

Tushaona uchafu mwingi unavyopitishwa kwa kutumia flag la "usalama wa taifa".
 
mambo ya kisiri ili kuficha ukweli wa ufisadi. tunanunua silaha za kupigana na nani karne hii. tumeweka zingine zimelipuka na kutuua. ukisema tusiyaseme ili tufiche ufisadi poa. heri yenu nyie mliopata mgao wa hiyo fedha kama wewe mama kilango.
 
Back
Top Bottom