Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
kung'oka ni kama kumsukuma mlevi tunamhandaa mtu wa kundondosha kama land slide
Yamkumbe yale ya mama wa Arusha
kung'oka ni kama kumsukuma mlevi tunamhandaa mtu wa kundondosha kama land slide
Kelele bungeni zisizo za mcngi n sawa sawa na kujipalia kaa la moto.YUKO WAP SELELII,
ukimuona mwanamke anashika kiuno mbele ya wanaume huku akiongea, ujue huyu hafai hata kwa matumizi ya nyumbani, sasa ndo aina ya huyu mama! hovyoo kabsa
ukimuona mwanamke anashika kiuno mbele ya wanaume huku akiongea, ujue huyu hafai hata kwa matumizi ya nyumbani, sasa ndo aina ya huyu mama! hovyoo kabsa
atang'olewa vipi na anategemea kumkaribisha mwanae bungeni 2015?
Huyu mama alinikera nilitamani nipasue tv yangu. She is the most pathetic mp in the house!! Anawakilisha maslahi ya nani huyu mama?
huyu mama amefilisika kisiasa!
nishawahi kumpa salamu zake huyu mama. hafai kabisa huyu.mda wake unahesabika akae akijua kabisa...
jimbo lake ni maskini halina hata barabara moja ya lami ukiachana na ile inayopita kwenda huko moshi na arusha ..hana lolote huyu mama..kadnganya wazee wetu wa mamba kuwa anawaletea kiwanda cha Tangawizi wakati barabara ni mbovu kwenda huko milimani sasa hiyo tangawizi sijui wataibeba kwende ndege sijui. huyu mama abaki nyumbani na mze wake basi inatosha
hata mimi nilimdharau kabisa na sitokaa kumsikiliza tena akiongea bungeni. kama angekuwa na busara kidogo angekaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wake kwasababu kilichorudishwa bungeni ilikua ni muhafaka wa watanzania(nje ya bunge) baada ya bunge,yeye akiwamo kushindwa kutupatia sheria nzuri ya mchakato wa katiba mpya.this woman really bored me....actually ndio alichafua hali ya hewa pale bungeni....
hana quality zozote za uongozi...ni mtu wa mijazba na mipasho!
Anadhalilisha wamama wa nguv walioko nafasi za juu !ye anakuwa kama mama muuza chang'aa bhana makelele kama chizi mimate inamtooka
!!!
Wapare bhana aghrrr
ukiwachunguza wengi wana viherehere na wanaongea kuliko cherehani
....... Huyo Anna Kilango mwenyewe hata alipokuwa anabwatuka bungeni enzi za Richmond ulikuwa unaona tu kuwa hajitambui wala kuelewa kina cha suala lenyewe (ndani ya chama chake). Hata leo sijui kama imemuingia akilini kuwa bosi wake JK ni mdau rasmi katika Richmond/Dowans/Symbion na dili zote muhimu za kifisadi. Nionavyo, hana uelewa, hana cha maana anachosimamia wala hana mkakati wa maana kisiasa.
Acha ushamba wewe, sasa ameongea kilango kama cherehani ndo ugeneralize wapare wote?? tumia akili bana