Anne Kilango Malechela lazima ang'olewe

makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,638
1,218
Kama kuna Wabunge ambao wameudhi,wamekera,na kuwachefua Watanzania kwenye Mkutano wa Bunge uliomalizika hivi majuzi ni Anne Kilango Malecela. Mama huyu anayejipambanua kuwa ni mkereketwa na mpambanaji wa Ufisadi amejidhihirisha kuwa si lolote wala chochote baali ni mnafiki,mwongo na mbumbumbu asiyejua lolote kuhusu umuhimu wa Katiba ya Nchi.

Kitendo cha Anne Kilango kukomaa na kung'ang'ania kurudisha kipengele cha kuwaondoa Wakuu wa Wilaya(DCs)kwenye Mswada wa mchakato wa Katiba mpya kimemshushia hadhi kwa asilimia kubwa pamoja na kwamba kwa Wabunge wenzake wa CCM alionekana kuwa ni shujaa wa karne.

Nilimwangalia wakti akiwasilisha hoja yake ya kuwarudisha ma-DC kwenye mchakato wa Mswada wa Katiba Mpya. Anne Kilango aliongea kwa jazba huku mishipa ikiwa imemtoka,mate yakiruka huku na kule toka mdomoni na midomo akiipanua kama vile kile alichokuwa anatetea kina maslahi yoyote kwa Watanzania. Huyu mama alionekana KUMKOSEA ADABU HATA RAIS wake ambaye kwa ushauri wa vyama vya siasa na wadau mbalimbali aliliona hilo ya KUWA WAKUU WA WILAYA NI MAKADA WA CCM na wasingefaa kuhusishwa na mchakato huu kwani LAZIMA WATAEGEMEA KWENYE MASLAHI YA CHAMA CHAO CCM. Hapa Rais Kiwete ALITANGULIZA MASLAHI YA TAIFA NA SIYO CHAMA! Kwa kitendo hiki Anne Kilango Malecela alimpinga Rais na Mwenyekiti wa Chama chake na hivyo kuonyesha dharau ya wazi kabisa!! Lakini kwa vile alikuwa anatetea maslahi ya CCM na Wabunge wenzake hoja yake iliungwa mkono na Wabunge wote wa CCM.

Sasa basi mimi nasema hivi, Anne Kilango Malecela amejichongea. Lazima afuate nyayo za mmewe Samwel Malecela ifikapo 2015 au kama itatokea Uchaguzi kabla ya hapo. Kama Anne Kilango huwa anapitiapitia kwenye ukumbi huu wa JF basi ajue kuwa hizo ndiyo salamu. ASITEGEMEE KURUDI BUNGENI TENA BAADA YA KIPINDI HICHI. Namwambia asahau. Huyu mama asifikiri Watanzania wa sasa ni wale ambao mmewe Mzee Malecela aliwahi kuwaambia,THEY CAN GO TO HELL baada ya kubanwa maswali Bungeni kuhusiana na usafiri wa Treni miaka ile ya Mwalimu.

Anne Kilango Malecela hizo ndiyo salamu za mjomba. Huwezi kuleta dharau zako Bungeni kwa kutetea wakuu wa Wilaya kwa kutanguliza maslahi binafsi na Chama Chako cha Magamba ili wakusaidie wakti wa uchaguzi kuchakachua kura zetu. Sasa ujue kuwa pamoja na kuwatetea ma-DC lazima uondoka Bungeni.

Wasalaam.
 
nishawahi kumpa salamu zake huyu mama. hafai kabisa huyu.mda wake unahesabika akae akijua kabisa...
jimbo lake ni maskini halina hata barabara moja ya lami ukiachana na ile inayopita kwenda huko moshi na arusha ..hana lolote huyu mama..kadnganya wazee wetu wa mamba kuwa anawaletea kiwanda cha Tangawizi wakati barabara ni mbovu kwenda huko milimani sasa hiyo tangawizi sijui wataibeba kwende ndege sijui. huyu mama abaki nyumbani na mze wake basi inatosha
 
Huyu mama hata ukisikiliza speech zake zimekaa kitaarabu sana anakuwa kama muimba ngonjera sijui huko same aliwambia nini mpaka wakampa ubunge ni bonge la fa la
 
Kama kuna Wabunge ambao wameudhi,wamekera,na kuwachefua Watanzania kwenye Mkutano wa Bunge uliomalizika hivi majuzi ni Anne Kilango Malecela. Mama huyu anayejipambanua kuwa ni mkereketwa na mpambanaji wa Ufisadi amejidhihirisha kuwa si lolote wala chochote baali ni mnafiki,mwongo na mbumbumbu asiyejua lolote kuhusu umuhimu wa Katiba ya Nchi.

Kitendo cha Anne Kilango kukomaa na kung'ang'ania kurudisha kipengele cha kuwaondoa Wakuu wa Wilaya(DCs)kwenye Mswada wa mchakato wa Katiba mpya kimemshushia hadhi kwa asilimia kubwa pamoja na kwamba kwa Wabunge wenzake wa CCM alionekana kuwa ni shujaa wa karne.

Nilimwangalia wakti akiwasilisha hoja yake ya kuwarudisha ma-DC kwenye mchakato wa Mswada wa Katiba Mpya. Anne Kilango aliongea kwa jazba huku mishipa ikiwa imemtoka,mate yakiruka huku na kule toka mdomoni na midomo akiipanua kama vile kile alichokuwa anatetea kina maslahi yoyote kwa Watanzania. Huyu mama alionekana KUMKOSEA ADABU HATA RAIS wake ambaye kwa ushauri wa vyama vya siasa na wadau mbalimbali aliliona hilo ya KUWA WAKUU WA WILAYA NI MAKADA WA CCM na wasingefaa kuhusishwa na mchakato huu kwani LAZIMA WATAEGEMEA KWENYE MASLAHI YA CHAMA CHAO CCM. Hapa Rais Kiwete ALITANGULIZA MASLAHI YA TAIFA NA SIYO CHAMA! Kwa kitendo hiki Anne Kilango Malecela alimpinga Rais na Mwenyekiti wa Chama chake na hivyo kuonyesha dharau ya wazi kabisa!! Lakini kwa vile alikuwa anatetea maslahi ya CCM na Wabunge wenzake hoja yake iliungwa mkono na Wabunge wote wa CCM.

Sasa basi mimi nasema hivi, Anne Kilango Malecela amejichongea. Lazima afuate nyayo za mmewe Samwel Malecela ifikapo 2015 au kama itatokea Uchaguzi kabla ya hapo. Kama Anne Kilango huwa anapitiapitia kwenye ukumbi huu wa JF basi ajue kuwa hizo ndiyo salamu. ASITEGEMEE KURUDI BUNGENI TENA BAADA YA KIPINDI HICHI. Namwambia asahau. Huyu mama asifikiri Watanzania wa sasa ni wale ambao mmewe Mzee Malecela aliwahi kuwaambia,THEY CAN GO TO HELL baada ya kubanwa maswali Bungeni kuhusiana na usafiri wa Treni miaka ile ya Mwalimu.

Anne Kilango Malecela hizo ndiyo salamu za mjomba. Huwezi kuleta dharau zako Bungeni kwa kutetea wakuu wa Wilaya kwa kutanguliza maslahi binafsi na Chama Chako cha Magamba ili wakusaidie wakti wa uchaguzi kuchakachua kura zetu. Sasa ujue kuwa pamoja na kuwatetea ma-DC lazima uondoka Bungeni.

Wasalaam.

Kunataarifa aliwaifanyiwa kitu mbaya morogoro je ni kweli?
 
Jamani huu mwaka wa uchaguzi CCM. Alikuwa anapiga kampeni za uchaguzi CCM kwa kujipambanua kuwa yeye ni kada mzuri hasa katika kutetea madudu ya CCM. Naona mabadiliko ya katiba yao yanayowaondoa wabunge kugombea mpaka wapate vibali yatamfanya ajifikirie tena. Yule mama ni mchumia tumbo, bunge lililopita alikuwa anakomalia sana serikali kwa sababu yeye alitaka kuwa first lady, alipokosa akataka walau ateuliwe kuwa waziri alipokosa akaona bora amwage mboga. Ni katika kundi lile lile la hypocrites maana nikisema kwa kiswahili nahofia watetezi wake humu JF kutoka povu bila sababu.
 
ukimuona mwanamke anashika kiuno mbele ya wanaume huku akiongea, ujue huyu hafai hata kwa matumizi ya nyumbani, sasa ndo aina ya huyu mama! hovyoo kabsa
 
Huyu mama alinikera nilitamani nipasue tv yangu. She is the most pathetic mp in the house!! Anawakilisha maslahi ya nani huyu mama?
 
Huyu mama anafanana chiriku hata ukiona anvyokunjakunja midomo yake nafikiri wabunge wanao kaa nae karibu huwa wanaloa kwa mimate yake
 
The list is much bigger... Ole sendeka, serukamba, diana chilolo, anna abdalah, chenge, lukuvi etc hawa wakisimama ukitaka usiharibu siku yako zima tu tv. At least some.magambaz hawaongei ****** kama hao juu, the likes of January, filikunjombe na wachache sana wengine
 
New York ni zamani wakati walipokuwa wanatutishia na hivyo viingereza vyao tunaona wakali hamna kura zinazopatikana kwa njia hiyo tena
 
Back
Top Bottom