Anne Kilango Malechela lazima ang'olewe

kweli kabisa, huyu mama ni maandazi kabisa, anang'ata na kupuliza, sijui anadhani tumelala? akawadanganye thame wamrudishe bungeni ilitujue kule nako wananchi ni maandazi kiasi gani
 
Mnafki hana lolote

Mnafiki ni mtu gani? Mnafiki ni mtu mwenye nyuso mbili (ndani yake na nje yake ni tafauti) na alama zake ni tatu. Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) ametufundisha kuwa mnafikiana alama tatu:
(1) Akizungumza husema uongo,(2) Akiahidi hatimizi (3) Akiaminiwa hufanya khiyana.
 
Halafu hana nidhamu bwana anatuharibia meza zetu kwa kuzigongagonga ngumi wakati anaongea.Alaaa!.
 
hahahahahahah wapare bwana !!!! mnaona kataeni kubalini wapare wanaviherehere

We kama ni mpare basi ni wa bwambo kama sijakosea! ........ badala ya kuchagua mtu wa maana ulidanganywa kwa andazi na chai ya tangawizi ukauza kura yako...! kama kiherehere unacho wewe!kaoge huko
 
Panga pangua 2014-2015 ninaenda kuweka kambi Mamba, Gonja, ndungu na maeneo mengine ya jimbo hili kuhakikisha 2015 hatufanyi kosa tena, hawezi kuchezea akili za wapare wote bwana! khaaa mche shuke aishe vaosi na ndevu javo?? hii haikubaliki hata kidogo lazima kieleweke! kama anapita huku ajue kijiwe kimemwagiwa *****
 
hapo kwenye red mkuu i beg to differ..she got the sexiest lips in the house but what comes out of that god's creation is another story..she is two faced,coward,hypocrite and envious.

dah! Mkuu hii kali hadi uchungu na chuki kwa hoja za huyu mama umepungua. Yeye namchukia sana
 
wakuu wa wilaya wana matatizo gani? Ni ukosefu wa sera tuu na kutokujua kujenga hoja, sasa tukisema wanafunzi wote wasishiriki zoezi la kutoa maoni kwa kuwa wengi wao wanataka mabadiliko hata kama hawajuwi mabadiliko hayo yanamanufaa gani na kwa kuwa hata history ya taifa hili hawajaikuta itakuwa vp?
 
mi nmeshndwa nimtukanaje?,ok yeyote mwenye contacts zake amjulishe angalau aje asome post hii tu halafu asepe zake,.au kama vipi mama lwakaT mstue mama kilango aje aone hii pls... Kama sio ban ningesema kitu hapa!.

Umemtaja mama Rwakatare umenikumbusha kitu! Hivi unajua uhusiano wa wamama hawa wawili? Kwa taarifa yako wanawake hawa hawaivi, ni kwa vile mama rwakatare amekuwa mchunga kondoo wa Bwana ndio maana kachukulia bifu lao kitu cha kawaida. Anne Kilango alimsumbua sana mama Rwakatare baada ya kumchukulia mumewe. mr. Rwakatare alichizika hata akaiasi familia yake. Ndoa yao ilivunjika kwa mateso aliyokuwa akiyapata mama Rwakatare, alibwaga manyanga na bahati nzuri akingia mambo ya dini na kupata Wamarekani waliomfadhili na kumwinua. Anne Kilango aliendelea na Mr. Rwakatare kwa muda mrefu, hata alipoingia kwenye ubunge kwa mara ya kwanza ni Mr. Rwakatare alimfadhili sana kwenye kampeni zake. Anne Kilango ni noma!

Tukirudi kwenye hoja, Kilango aliitetea sana hoja ya ma-DC kwenye Muswada wa marekebisho ya Katiba kwa kuwa Wabunge wengi wamewekeza kwa Ma-DC hao kwa ajili ya uchaguzi. Wamezoea kubebwa na makada wao wa CCM wakiwamo ma-DC! Huo si utawala bora kwenye mfumo wa kidemokrasia hata kidogo. I wish Ma-DC wafutwe kwenye katiba mpya maana hawana kazi zaidi ya kupiga siasa za maji taka!
 
Bahati mbaya iliyoje kwa mama huyo,ni bingwa wa kuropoka bila kuwa na data,mnafiki siku zote ana sifa tatu kuu,akiahidi hatekelezi,akisema husahau na akitenda hutenda chini ya kiwango kilicho kusudiwa.Majigambo na ngojera zake mbona hazikufua dafu mbele ya mh. Sophia Simba alipomtuhumu kuwa anajifanya kiranja wa kudhibiti mafisadi ilhali yeye na mumewe Malecela walivuta pesa hizo hizo za E.P.A toka kwa Jeetu Patel,lakini alishindwa kukanusha!Uvuvuzela wake usio na kikomo mwisho wake umefika,kwanza nimpongeze M/kiti na kamati kuu kuwafyeka kwenye katiba ya CCM kwa kutogombea U-NEC kwa kupitia wilayani.
 
Panga pangua 2014-2015 ninaenda kuweka kambi Mamba, Gonja, ndungu na maeneo mengine ya jimbo hili kuhakikisha 2015 hatufanyi kosa tena, hawezi kuchezea akili za wapare wote bwana! khaaa mche shuke aishe vaosi na ndevu javo?? hii haikubaliki hata kidogo lazima kieleweke! kama anapita huku ajue kijiwe kimemwagiwa *****

nipo nyuma yako zero distance.
 
vaathu shighani hiyo mburi ja huu mama. Mvusheni kana mbigheni. Huu mama nte mthavi kamili.

Wakuu mi naona wapare kura zao walitupa kabisa hakuna matumaini kutoka kwa huyu mropokaji wa ajabu. Elimu uraia kwa wale wazee wetu muhimu maana hawajui walitendalo kwenye sanduku la kura
 
Back
Top Bottom