yutong
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 1,601
- 338
Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.
Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...
Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....
Wanafiki wanalinda maslahi ya Chama chao badala ya kulinda maslahi ya wapiga kura wao. Mi nauliza hivi nani amewajiri ni CCM ama wananchi waliowapigia kura?