Anne Kilango Malecela awa bubu ghafla

Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.

Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...

Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....

Wanafiki wanalinda maslahi ya Chama chao badala ya kulinda maslahi ya wapiga kura wao. Mi nauliza hivi nani amewajiri ni CCM ama wananchi waliowapigia kura?
 
.......yupo kwenye harakati za kugombea nafasi mwenyekiti UWT, hivyo akionyesha makali CC itamuengua.

Mkuu huyu mama ni nyoka mwenye sumu mbaya na anaweza akawaua watz kwa unafiki wake. Yeye ndiye aliyepewa hela na mafisadi ahonge vijana kule Mbeya- Kiwira. Na asingeshtuka vijana wa Kiwira wamechoka walitaka kumbaka. Pia huyu mama kumbuka walipewa mihela na mafisadi ili mumewe agombee urais. hana mpya apuuzwe.
 
Mungu amewapiga upofu wasione wala kusikia, ili harakati za ukombozi zitekelezwe kwa urahisi.
Kwa maana Mungu amewaficha hekima hii na maarifa, akawafunulia wajukuu CDM
 
sina uhakika kama alimpigia kura mwanawe willy!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
yeye na matayo lazima wang,oke upareni,,,,,,,wanatia aibu wapare wanaonekana vilaza kilimanjaro,,shame,,shame,,shame,,,,,,,,,,,,,,,,wameidumaza upare,,,,wapare wamepoteza heshima mikononi mwa watu hawa,,,,,nchi ile imepauka,,vijana wamepoteza nuru,,,wazee ni mburi tu,,,,kina mama ni bendera fuata upepo,,,,,wakipewa kanga na chai ni vigelegele kutwa na kusifia ujinga shauri ya shida,,,,,,,upare amkeni,,,,hacha,,,hariiika nresari,,,,,,,,,mpaka lini.....
 
Le Mutuz kamtia hasara, mkwanja wote waliomwaga kusaka ubunge wamedondokea pua. Ameamua kuhamishia hasira kwa sisi watanzania tukomeshwe na ufisadi wa ccm
 
Well said...wapo kwa ajili ya matumbo yao, sio wananchi. She's an "Opportunist"
 
Ni leo tu nilirudi home mara moja, mama yangu huwa anafuatiliaga bunge mara moja moja, akaniuliza mbona yule mama malechela hakumuona katika bunge hili hasa katika harakati hizi za kuwaondoa mawaziri? nkamjibu labda hayupo bungeni anaudhuru. sasa hapa ndo napata majibu kamili Akhsante jf kesho ntmrudishia majibu
 
Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.

Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...

Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....

aaaaahhhh alifikiri kwa kuongea sana na kutetea visivyotetewa,mwanae atapata ubunge wa Afrika Mashariki.

Baada ya kupoteza pesa nyingi,na mtoto kushindwa amekuwa na hasira sana.
 
Hii hoja haina maslahi kwake kwani hujui ile dili ya richmund alikuwa analipiza kisasi kwa kunyimwa mshiko? Hv hujui huyu ni mfanyabiashara na jambo ambalo hana maslahi nalo haliongelei kabisa. Yuko kimaslahi binafsi zaidi na si kwa maslahi ya watanzania ambao hawamsaidii kitu
 
Kama kuna mtu bado anawaamini wabunge wa ccm na ccm yao basi atafakari upya!

Hiki chama kilipoteza mwelekeo siku nyingi na wabunge wote wanajua, ukitaka kuendelea kuwa mbunge lazima uangalie masilahi ya chama na si masilahi ya taifa kwanza!
 
huyu mama kaiba pesa ya kujengea kiwanda cha Tangawizi

Na si huyu mama tu wapo wengi ila mimi inaniuma sana kama Zambi atakuwa hajatia mkono wake kwa zito.Na niwaombe CHADEMA wahakikishe hawa waliokubali kutia saini wanakuwa sehemu yao na kama CCM itatishia kuwatosa iwe tayari kuwaunga mkono kwenye mapambano ili next time timu izidi kuwa kubwa.Ni wakati muafaka sasa wa kubaini aina ya watu wanaofaa kuwa viongozi wa kesho.Tumtafute sita na Mwakyembe watupe msimamo wao kwa nini hawakutia saini na wao ni anti Ufisadi?Au mawaziri hawahusiki?
 
kibali chake cha kazi wanacho watu wa same,sasa tunachotaka kupima ni je ,.kati ya kilango na wananchi wa same nani punguani!!?kama watampitisha tena kua mbunge hapo ndio tutaamini kuwa ufupi wa mwili ndio kipimo cha akili kupima mambo
 
Same as Lembeli, huyu jamaa ni fisadi mkubwa na namjua tangu akiwa Ujerumani, na later akarejea bongo kwa njia za panya na kujipatia kyeo Tanapa kama PR manager huku akiwa na vyeti vya kufoji ! Huyu kakomba sana Tanapa na alijua namna ya kuwaingiza mjini wazee wa bodi na yule mkurugenzi mshamba kwa kuwanunulia suti za sunday market na kuzifunga ktk plastiki.....huku akiwa bingwa wa kutembeza bahasha kwa waandishi either kuficha madhambi au kashfa ! Na alikuwa anachukua madurufu malaki ya dola, na ilifika wakati yaani anaombwa na kukumbushwa achukue mshahara maana alikuwa anasahau kwa jinsi alivyokuwa anaishi kwa posho za madurufu...! Hata ubunge aliupata kupitia mgongo wa miradi ya Tanapa, na ilibidi maana bodi mpya ilibana na kutaka vyeti halisi na ndipo alipoumbuka kuwa kihiyo..

Sitashangaa akiwa kule anavuta kwa mamvi mwenzake, na akiwa huku anajifanya mpiganaji...!! No wonder siwaamini magamba yoyote hata huyu Fijilakombe au whatsoever, hana lolote ni njaa tu na hasira zake baada ya kuzidiwa kete na Lukuvi, kijakazi wa JK !!



Huyu mama mnafiki tu, social ladder climber and cheap popularity seeker.

Hana lolote na mie simshangai.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom