Mkuu umenivunja mbavu...........bwahahahaaaaaaaa :glasses-nerdy:Huyu mwezi wa kwanza namfananisha na Le Mutuz big show @ dodoma city then dsm city
unafiki wa kichama umemteka Januari
Mie labda mnisaidie wana JF, maana hawa wote wenye majina makubwa (kutoka kwa baba zao) huwa nawachukia siamini kwamba wanapata mafanikio kwa kuwa ni wachapakazi. Mwenye ushaidi kunibadilisha mawazo haya niliyonayo please come forward, zawadi nono itatolewa
Mie labda mnisaidie wana JF, maana hawa wote wenye majina makubwa (kutoka kwa baba zao) huwa nawachukia siamini kwamba wanapata mafanikio kwa kuwa ni wachapakazi. Mwenye ushaidi kunibadilisha mawazo haya niliyonayo please come forward, zawadi nono itatolewa
Jamani waswahili wa Puani hawawezi uongozi si mmeshaona, hebu angalia vizuri hao watu wanajibweteka na ndo maana waliwaruhusu waarabu kwa wingi kuja kufungua maduka. Yahani hawa watu ni mzigo mkubwa kwa nchi yetu hii wala hawana uchungu kabisa na nchi. Ndo maana kwao ngoma ndo msingi wa maisha yao yuko tayari kuuza hata nyumba/kiwanja ili amcheze mwanao na wala si kumlipia karo ya shule. Tukitaka tanzania imara watu hao wa mikoa ya Puani basi tusiwape madaraka wakubwa. Wakishalewa madaraka ni safari kila siku mara kumwona mjomba, shangazi nk. Wanajua kutumia tu pesa na wala kuzalisha hawawezi kazi kuponda raha tu motherfakangaga
hatuwezi wote kuwa na mawazo sawa, hoja ya zito ilijawa na jazba zaidi badala ya busara na hekima, haikuwa na uthabiti, bali ni hoja ya chama hata tukipinga kwamba haikua ya chadema .
maslahi binafsi pia yalitawala malumbano na shutuma kila mtu aliweka maslahi yake sio ya taifa kuna pande zilikua na interest katika viwanja vya CHC , WAMO WABUNGE na wawafanya biashara na mawaziri, wabunge hao pia ni wa upinzani, wapo wenye interest na upanuzu wa bandari, wamo wabunge na mawariri , huu ndio ukweli, kila mtu anatetea upande wake wenye maslahi yake,....siisi tunapigishw kelele tu ndio maana mwenye akili ya kufikiri alikaa kimya ..hata wapinzani nao pia hawakusaini wote, upinzani una wabunge zaidi ya 87 lakini zito alipata tabu sana kutimiza idadi ya wabunge 70, hii ...na kusaini wabunge chini ya 5 tu wa CCM inaonesha hoja haikua ya msingi ilikua ya kisiasa zaidi..wengine hawa wamedandia
Acts 13:36 For when David had served God's purpose in his own generation, he fell asleep; he was buried with his fathers and his body decayed
Ni ukweli usiopingika kwamba kila kizazi kinahitaji kiongozi wake. Hiyo ni kwa sababu kila kizazi kina matatizo yake, maono yake, na matakwa yake. Ni ukweli usiopingika kwamba kizazi cha Tanzania leo hii kina kiu ya kiongozi wake.
Kwa muda ilionekana kama vile kuna vijana wawili January Makamba and Zitto Kabwe, ambao walikuwa tayari kubeba jukumu la kusimama kama nyota ya uongozi wa kizazi kipya. Kili mmoja wetu anajua kilichojiri Bungeni hivi karibuni, hasa uamuzi wa January Makamba kupingana na hatua aliyoingoza Zitto Kabwe ya kudai uwajibikaji serikalini.
Ni dhahiri, ingawa wengine wanaweza kuwa na maoni tofauti, kwamba January amejiweka katika wakati mgumu kisiasa, hasa mbele ya vijana waliomtegemea.
Kwa muda January Makamba aliweza kungara katika anga za siasa Tanzania kwa sababu ya uwezo wa kupambanua mambo. Lakini kilichotokea Bungeni kimedhihirisha kitu kimoja uwezo wa January kupambanua mambo na kutoa kauli zilizoenda shule peke yake hakumfanyi mtu kuwa kiongozi na shujaa wa kizazi chake. Kuna wakati na mazingira yanamtaka kiongozi kudhihirisha mawazo na moyo wake ulipo.
Pale Bungeni, wakati huo ulitokea na bahati mbaya sana January akaugopa wakati huo.
Pale mjengoni, January Makamba alidhihirisha kwamba mawazo yake na moyo wake yako mbali kama Mashariki iliyo mbali na Magharibi. Na ndio maana dhana ya unafiki inamzonga January. Katika utetezi wake, January Makamba aliandika hiki hapa chini:
"I can disagree with Zittokabwe on methods to reach the same objectives, and we are still brothers"
Mpaka leo sijasikia chochote toka kwa January kuhusu njia mbadala (tofauti na njia aliyopendekeza Zitto Kabwe) ya kuleta uwajibikaji serikalini. Kwa mantiki hiyo, hiyo kauli yake hapo juu ilikuwa ni jitihada tu ya kuzima zengwe na jinamizi la kisiasa linalomkabili.
What a waste.