Angalizo: Wale mnaotumia SMADAV kama Antivirus za PC zenu

Kama huruhusu flash, external na storage device nyengine kuchomekwa kwenye pc yako na browser ukaieka adblock basi una survive bila ant virus. Mimi nina miaka sasa bila ant virus. Na kama unatumia windows 10 au 8 ndio kabisaa kupata virusi ni vigumu sana.

Unless una biashara au sensitive documents then itabidi ueke ant virusi kama kaspersky

pc huchomeki usb flash...huo ni uchoyo mkuu
 
Bitdefender no1

Mkuu please kama unaaccess yoyte ambayo naweza kuipakuwa hii antivirus ya bitdefender kama unayoitumia wewe naomba uniwekee apa...ni muda mrefu sasa naitafuta hii kitu...though cjawahi kuitumia but nackia tu ni nzuri
Kwa sasa natumia essential bt inashindwa kuwork effectively kila cku virus wanajenga vibanda kwny pc licha ya kuiupdate kila baada ya cku 7

NB:izi software za bitdefender zoote walizoweka humu jf hazifunguki na nyengeni hazikupeleki kwenye source husika,nimezijaribu bila mafanikio.
Pia naomba ambayo ni full ver.ata km ni crack...

Natanguliza shukran.. futurestar
 
Last edited by a moderator:
mie natumia smadav pekee kwa mwaka wa pili huu sasa. hata sijapata virus wala kupoteza files zangu. muhimu zaidi nilogundua ipo light weight. haiiumizi processor. ipo sawa saaaana
 
Back
Top Bottom