Angalizo namba nyingine ya simu isiyo tambulika 0529381

Kiherehere yupo sawa kabisa. Tatizo kubwa hapa Tanzania ni kwamba wamiliki wa makampuni yanayojihusisha na shughuli za teknohama wanaweka watu ambao hawaendi na mabadiliko, huku kuna mabadiliko yanayoendelea katika teknohama.
Ndiyo maana mi nafurahi kuona govt' site imekuwa hacked cuz hata wahusika wakuu (system admins.) hawafuatilii njia mpya za kutumia ili kuwa more secure. Tena madada wa CC ndo hupenda kutoa majibu ya "CJUI".Darn....!!!!
 
DA HATA MM LEO 03 oct namba +37181052271 xo kuigugle ndo naona wadau mmeiweka mezan
xo vp tena hi mambo!
 
dahh... hapa kunautata...!!!!! inawezekana wanajaribu numbers randomly tu..!!! :coffee:
 
Mi mbona napigiwa na izo namba tena kila siku mara ya kwanza sikugundua nikapiga yan kupga tu ikawa connected kama imepokelewa nikawa na sikia vtu zvelewi within two second nikakata but nlikua na salio la elf 4 kwenye sim nikakuta ziro nikajua wizi bado wanapga afu ukipokea wanakata wanataka uwapigie wanapenda ku miss call sa iv meshajua
Kiteknolojia sio rahisi watoa huduma kutambua kila namba ya simu, imagine mtu analipa internet call service kama net2call ambayo inampa option kuchagua namba yoyote anayotaka ionekane kwa anaowapigia halafu anaanza kupiga simu kwa watu kupitia internet

Sio rahisi service provider yoyote kujua hiyo namba ya nani na anapiga toka wapi, anweza kua Dar lakini namba yake inaanzia na +44. Its technological disaster

Only thing ni kuwa sio rahisi kutoa au kuiba hela iliyo kwenye simu yako kama ambavyo wengi wanajaribu kuamini hapa, wizi upo but its in other way round sio rahisi in such a way



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Well said yan mm ndo mpaka mechoka kuwapigia hao cstama care coz hata hawajawah tatua tatzo langu kila siku wanarepot nahis na sistim pia mbovu. Yan mtu anakwambia ndio nimeona hela yako imepotea lakin sijui imepotea sababu gani ngoja ni report, so wao nahis wapo kwa ajir ya kuripot si kutatua matatizo ya wateja na uko wanapo report sasa mpaka mwez utafika bado hawaja solve
Sirekebishi kauli........wewe inaonyesha huishi Tanzania.....ujue twende General kwenye hili......unapopiga cm Customer Care, huwa kuna idara....za huduma....in this case wahusika wa idara husika lazima wawe ni wajuzi wa jambo husika.

Mfano" niliwahi kujiunga Tigo post paid...., nikatumiwa Link kwa ajili ya kulog in, nikapewa username & PW....lakini nilipojaribu kulog in ikagoma, nikapiga idara husika.....unajua waliniambiaje...(hii ni baada ya kuitana kwa muda mrefu na kuulizana" wakaniambia HAWAJUI HIYO Link ni ya nini""" wao ndo walinitumia...lakini hawajui ni ya nini?? Nikawauliza kama kuna huduma wanayo ambayo ninaweza kuangalia matumizi yangu online....badala ya kuniambia aidha haipo au ipo...mpokeaji aliniambia HAJUI ( suala hapa....kama kweli unafanya kazi Kampuni/Idara husika....na uko makini Siyo Kihiyo) kujua aidha huduma iyo ipo au la.....nafikiri ni kitu muhimu kwa kuwa ndo kazi yako, sasa kama umewekwa tu huwezi fuatilia, na sio rahisi kwa ambaye sio kihiyo kusema SIJUI, kwa jambo dogo kama hilo.

Yapo mengi mzee ila nisije nikajaza sever ya JF.

Hapa ukiiyo ninaozungumza....ni kitendo ya mfanyakazi kuweza kufanya maamuzi kulingana na idara aliyopewa, na uwezo wa kutambua changes zilizopo katika idara husika, kwa kuwa shuguli yake ni kuudumia wateja.....then ni JUKUMU LAKE KWA UHARAKA kufuatilia na kujua changes ili wateja wahudumiwe katika muda.

Kutojua au kutofuatilia...ndo ukihiyo wenyewe, kwa kuwa mtu amewekwa ni vigumu kujua majukumu yake kaka

Pia fuatilia...kuna cku niliweka sh 1,300 kwenye cm yng...nikaongea kwa dk takriban 4:57, salio nikaangalia, limebaki Tzs 7/= nikapiga cm CC, yeye akaniambia hajui ni kwa nini imebaki hvyo...ni baada ya kumuuliza 1sec costs 1tzs + VAT 18%, how comes takribani sec 300 + VAT, zikala 1293???.

Kukosa jibu (tena kwa Customer Care) kwa suala kama ilo ni ukihiyo maana umeweka idara husika, alafu unakosa majibu husika, wewe sio kihiyo ni nini??

Piga cm Customer Care, upande wa internet settings, wapo (wanaoweza) ila siku mungu akikudondoshea kwa muhusika utaona vituko mzee.......nilishaona vituko/na kusikia kwenye hizi CC

Unless otherwise nawe uwe kwenye idara hizi....huwezi kuona mapungufu kwa kuwa nawe uko ndani.

Nawasilisha



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom