Angalia tofauti ya vita ya Ukraine na Russia na Israel na Palestina

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na kurusha maroketi.

2. Pamoja na vita, Russia bado anaihudumia Ukraine kwa kuiuzia umeme na Gesi, Israel imekata umeme, maji na huduma zote za muhimu kwa Palestina/Gaza baada ya vita kuanza.

3. Russia huondoa watoto na wanawake kutoka kwenye eneo la vita kabla ya kushambulia, Israel inashambulia hadi hospitali, Israel wanasema Gaza, Everyone is Guilty until proven Innocent' hata watoto wadogo na wanawake ni guilty. Huu ni wendawazimu.

4. Russia haijatangaza kuifuta Ukraine ana kuua wa Ukraine wote, Israel inatangaza kuifuta Gaza ama Palestina na kwamba watakachokifanya kwa Gaza hakitasahaulikakwenye kumbukumbu ya Dunia.

5. Kuna wakati Russia ilikata umeme kwa baadhi ya mikoa ya Ukraine, Russia waliitwa ni magaidi, kukata umeme, ila Israel ilipowakatia Gaza umeme wamesifiwa na kupongezwa.

6. Russia haijawahi kudhalilisha watu wa Ukraine na kuwaita majina mabaya mabaya ya ajabu ajabu lakini Israel inawaita wapalestina ni wanyama, nyani, sijui mbwa na majina ya hovyo na bado Israel inasifiwa.

7. Mwisho, tunaambiwa Russia ni taifa la Kigaidi na Palestina ni taifa la Kigaidi. Tunaambiwa Russia ndio mchokozi kwa Ukraine ila Israel yeye ana haki ya kujilinda na kujitetea. Kwamba Putin ni gaidi ila Netanyahu ni shujaa kulinda nchi yake.

Huo ndio unafiki wa watu wa magharibi na vyombo vyao vya habari.
 
Kulalamika huku haitasaidia kabisa mwamba
 
Kwa hiyo unataka wafanane?Sababu,nia na vyanzo ni tofauti.Wafanane kwa nini sasa?Majina tu ni tofauti.Kama unateseka ungewawahi HAMAS na ungewaeleza wasianzishe ujinga kwa kutegemea kupewa maua.
Mkuu, kwani Hamas na Ukraine wanatofautiana nini?

Wote ni wakorofi, wameanzisha vita, sasa iweje Russia kwa kujitetea waitwe magaidi ila Israel wasifiwe?
 
1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na kurusha maroketi.

2. Pamoja na vita, Russia bado anaihudumia Ukraine kwa kuiuzia umeme na Gesi, Israel imekata umeme, maji na huduma zote za muhimu kwa Palestina/Gaza baada ya vita kuanza.

3. Russia huondoa watoto na wanawake kutoka kwenye eneo la vita kabla ya kushambulia, Israel inashambulia hadi hospitali, Israel wanasema Gaza, Everyone is Guilty until proven Innocent' hata watoto wadogo na wanawake ni guilty. Huu ni wendawazimu.

4. Russia haijatangaza kuifuta Ukraine ana kuua wa Ukraine wote, Israel inatangaza kuifuta Gaza ama Palestina na kwamba watakachokifanya kwa Gaza hakitasahaulikakwenye kumbukumbu ya Dunia.

5. Kuna wakati Russia ilikata umeme kwa baadhi ya mikoa ya Ukraine, Russia waliitwa ni magaidi, kukata umeme, ila Israel ilipowakatia Gaza umeme wamesifiwa na kupongezwa.

6. Russia haijawahi kudhalilisha watu wa Ukraine na kuwaita majina mabaya mabaya ya ajabu ajabu lakini Israel inawaita wapalestina ni wanyama, nyani, sijui mbwa na majina ya hovyo na bado Israel inasifiwa.

7. Mwisho, tunaambiwa Russia ni taifa la Kigaidi na Palestina ni taifa la Kigaidi. Tunaambiwa Russia ndio mchokozi kwa Ukraine ila Israel yeye ana haki ya kujilinda na kujitetea. Kwamba Putin ni gaidi ila Netanyahu ni shujaa kulinda nchi yake.

Huo ndio unafiki wa watu wa magharibi na vyombo vyao vya habari.
Umeandika kishabiki na kinafiki

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kwani Hamas na Ukraine wanatofautiana nini?

Wote ni wakorofi, wameanzisha vita, sasa iweje Russia kwa kujitetea waitwe magaidi ila Israel wasifiwe?
Russia ijitetee vipi wakati yenyewe ndiyo imeivamia Ukraine? Hata sisi Tanzania Iddi Amini alivyotuvamia kulishughulika naye na kumtumilia mbali..
 
1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na kurusha maroketi.

2. Pamoja na vita, Russia bado anaihudumia Ukraine kwa kuiuzia umeme na Gesi, Israel imekata umeme, maji na huduma zote za muhimu kwa Palestina/Gaza baada ya vita kuanza.

3. Russia huondoa watoto na wanawake kutoka kwenye eneo la vita kabla ya kushambulia, Israel inashambulia hadi hospitali, Israel wanasema Gaza, Everyone is Guilty until proven Innocent' hata watoto wadogo na wanawake ni guilty. Huu ni wendawazimu.

4. Russia haijatangaza kuifuta Ukraine ana kuua wa Ukraine wote, Israel inatangaza kuifuta Gaza ama Palestina na kwamba watakachokifanya kwa Gaza hakitasahaulikakwenye kumbukumbu ya Dunia.

5. Kuna wakati Russia ilikata umeme kwa baadhi ya mikoa ya Ukraine, Russia waliitwa ni magaidi, kukata umeme, ila Israel ilipowakatia Gaza umeme wamesifiwa na kupongezwa.

6. Russia haijawahi kudhalilisha watu wa Ukraine na kuwaita majina mabaya mabaya ya ajabu ajabu lakini Israel inawaita wapalestina ni wanyama, nyani, sijui mbwa na majina ya hovyo na bado Israel inasifiwa.

7. Mwisho, tunaambiwa Russia ni taifa la Kigaidi na Palestina ni taifa la Kigaidi. Tunaambiwa Russia ndio mchokozi kwa Ukraine ila Israel yeye ana haki ya kujilinda na kujitetea. Kwamba Putin ni gaidi ila Netanyahu ni shujaa kulinda nchi yake.

Huo ndio unafiki wa watu wa magharibi na vyombo vyao vya habari.

The Assasin. Sijategemea kabisa wewe kuja na hoja hizo, hata kama unatetea Hamas be logical na rational jamaa yangu. Huu ugomvi una layers nyingi sana, Kihistoria, Kidini na interests za mataifa mbali mbali ( Hata Waarabu wenyewe na Hao Wapelestine hawana mtazamo sawa).
Ugomvi huu umenilazimisha kuangalia kila upande hoja zao......Kwa kifupi ni complex!
 
1. Vita ya Ukraine na Russia ilianza February 2022, vita kati ya Israel na Palestina/Gaza imeanza October 2023. Vita kati ya Russia na Ukraine iliamza baada ya Russia kuituhumu Ukraine kwa uchokozi na vita kati ya Israel na Palestina imeanza baada ya Israel kuituhumu Palestina kwa uchokozi na kurusha maroketi.

2. Pamoja na vita, Russia bado anaihudumia Ukraine kwa kuiuzia umeme na Gesi, Israel imekata umeme, maji na huduma zote za muhimu kwa Palestina/Gaza baada ya vita kuanza.

3. Russia huondoa watoto na wanawake kutoka kwenye eneo la vita kabla ya kushambulia, Israel inashambulia hadi hospitali, Israel wanasema Gaza, Everyone is Guilty until proven Innocent' hata watoto wadogo na wanawake ni guilty. Huu ni wendawazimu.

4. Russia haijatangaza kuifuta Ukraine ana kuua wa Ukraine wote, Israel inatangaza kuifuta Gaza ama Palestina na kwamba watakachokifanya kwa Gaza hakitasahaulikakwenye kumbukumbu ya Dunia.

5. Kuna wakati Russia ilikata umeme kwa baadhi ya mikoa ya Ukraine, Russia waliitwa ni magaidi, kukata umeme, ila Israel ilipowakatia Gaza umeme wamesifiwa na kupongezwa.

6. Russia haijawahi kudhalilisha watu wa Ukraine na kuwaita majina mabaya mabaya ya ajabu ajabu lakini Israel inawaita wapalestina ni wanyama, nyani, sijui mbwa na majina ya hovyo na bado Israel inasifiwa.

7. Mwisho, tunaambiwa Russia ni taifa la Kigaidi na Palestina ni taifa la Kigaidi. Tunaambiwa Russia ndio mchokozi kwa Ukraine ila Israel yeye ana haki ya kujilinda na kujitetea. Kwamba Putin ni gaidi ila Netanyahu ni shujaa kulinda nchi yake.

Huo ndio unafiki wa watu wa magharibi na vyombo vyao vya habari.
Hapana umeanza kwa makosa sana. Vita ya Ukraine ilianza kwa Putin kudai kuwa Ukraine siyo nchi bali ni sehemu ya Urusi ila sasa imekaliwa na Nazis, hivyo anataka kuwaondoa hao Nazis na kuirudisha mahala pake ambapo ni Urusi.
 
Back
Top Bottom