Ilianza Vita ya Maradhi (Covid-19), ikaja Vita ya Uchumi (Russia vs Ukraine) ikaja Vita ya Tabia Nchi sasa imezuka Vita ya Kiimani (Israel vs Hamas)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,639
142,992
Tulipofika ni kumuomba Mungu wa Mbinguni tu atufanyie wepesi.

Vita ya Uchumi Russia vs Ukraine bado haijaisha imezuka Vita ya Tabia Nchi Mioto ya asili, Mafuriko na Matetemeko.

Kana kwamba haitoshi imezuka Vita ya ghafla Israel dhidi ya Hamas.

Dunia siyo mahali salama tena Mungu wa Mbinguni Uturehemu Sisi!
 
Israel na palestina wanajuana hawa ni ndugu kwahyo wasikupe shida,shida ipo kwa hizi nchi zinazopambania uchumi wao ndyo za kuombea sanaa
 
Usisahau na Vita ya Team Maridhiano na Team Katiba kwanza.

CHADEMA vs Sauti ya Wananchi Tanzania
 
Back
Top Bottom