Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,109
- 34,068
Habarini Wadau,
Kwa aliyefuatilia speeches nyingi za Nelson Mandela na Mwl. J.K Nyerere hasa Wahenga humu watagundua kuwa hawa watu walikuwa wakiwapinga sana Israel pamoja na Washirika wake yaani US, UK, France, German na wengine
Na badala yake waliamua kuwa upande wa Wajamaa Russia, China na Affiliates wengine
Naomba kwa anayejua hasa matukio ya zamani yaliyowafanya wazee hawa kuichukia Israel na Kuipenda na hata kutambua nchi ya Palestina ni yapi?
Ilifikia mahali Nelson Mandela zaidi ya mara 5 alisema
"Hatuwezi kusema tuna uhuru wa kweli kama Palestina haipo huru"
Nyerere ndio alishawaita Waisrael
"Wauaji na Wadhulumaji"
Pia wakati wa Nyerere hakuruhusu hata kuwepo na ofisi ya Ubalozi wa Israel hapa nchini. Ubalozi umekuja kuwepo hivi majuzi tu