Angalia nyumba za Polisi wetu

halafu bado wana ujasiri wa kuwaua kwa risasi walalahoi wenzao,..hali mbaya kwa hawa watu.

Mambo taratibu, kasungura twenyewe bado tudogo, wachape kazi zaidi sana kwakuwa kazi yao ni ya kuaminika watumie fursa hiyo kupata mikopo na kujenga nyumba zao binafsi ili hata wakistaafu wasiwe kituko mitaani. vitu vya bure vinamatatizo sana!
 
Ni kweli kabisa Polisi wa Tanzania hawathaminiwi,
Mshahara mdogo, makazi duni, hakuna pa kusemea
Unyanyasaji ni mahali pake, ubinafsi na upendeleo ktk kupandishana vyeo
polisi wetu wanateseka sana
 
Ni kweli kabisa Polisi wa Tanzania hawathaminiwi,
Mshahara mdogo, makazi duni, hakuna pa kusemea
Unyanyasaji ni mahali pake, ubinafsi na upendeleo ktk kupandishana vyeo
polisi wetu wanateseka sana

Wenyewe wameridhika na hali halisi hii
 
Back
Top Bottom