Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

Upofu kuweza kuwepo ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Kila unaposema mimi ni kipofu, unathibitisha Mungu hayupo.

Unaelewa hilo?
Kila ninapomaliza kumwosha nguruwe,

Nikimwachia tu huyo anarudi matopeni kujichafua tena.

Ndipo ilipo tofauti kati ya Wana wa Nuru na Wana wa Giza.
 
HIvi unaweza kuthibitisha kitu kisicho kuwepo kuwa hakipo au unaweza kuthibitisha kitu kilichopo kuwa kipo ?
 
Kila ninapomaliza kumwosha nguruwe,

Nikimwachia tu huyo anarudi matopeni kujichafua tena.

Ndipo ilipo tofauti kati ya Wana wa Nuru na Wana wa Giza.
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujathibitisha umeongea na Mungu.

Hujathibitisha Eden ilikuwapo.

Hujathibitisha kuna free will.

Unabumbabumba tu.
 
Ni Muhimu athibitishe Mungu hayupo,

Atueleze alimtafuta lini na wapi akamkosa.

Ni sawa tu na pale South Africa, wazungu walipofika pwani ya s.a walisema hawakukuta mtu yeyote pale.

Kiranga athibitishe Mungu hayupo,

Mimi nimethibitisha Mungu yupo!

Wewe unaamini hapakuwa na mtu pale Bondeni zaidi ya ndege pekee?

Wewe ndiye uthibitishe kuwa Mungu hayupo.

Mimi nimethibitisha Mungu yupo.
Wapi ulipothibitisha kama mungu yupo zaidi ya kwamba umeandika tu kuwa Mungu huyo yupo??
 
Thibitisha wewe kuwa sauti niisikiayo Si ya Mungu ndugu Kiranga.
Ila we jamaa unatumikia kitu usichokijua wala kukielewa yani kusema useme wewe ila kuthibitisha unaanza chenga kibao, ni sawa wakati tupo shule kwenye somo la hisabati lilikuwa likitoka swali lazima uonyeshe kama jibu umepata 2 basi jibu njia na kanuni ulopatia lazima uonyeshe na kuna namna yakuthibitisha jibu lako sio tu useme 2 kama umeigilizia.
 
Wewe unaweza kumuelezea kipofu wa Kuzaliwa RANGI mbalimbali akakuelewa?

Ukisema hakuna Mungu, thibitisha. Hadi Leo wazungu wanafanya Utafiti SAYARI mbalimbali kutafuta uhakika, Leo anakuja mtu ghafula na kudai hakuna Mungu ilhali hata hawezi kuijua njia ya upepo ni ipi!!
 
@Rabbon: Ikiwa wewe unaamini sisi tusioamini hayo mambo yako ni Vipofu. na wewe unaona. Hebu Tuambie Rangi ya Blue Ikoje, Ili tuamini kama kweli unaiona.
 
Kwanza kabisa, hujathibitisha yupo.

Umesema unaongea naye. Huo si uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Hujathibitisha hata kwamba umeongea na yeyote.

Thibitisha Mungu yupo.
Hapa upo sahihi kiranga jamaa asilete janja janja..kifupi mijadala kama hii inapo kua inaendelea nikwamba nyuma yake kunawatu wengi wanafatilia hoja zitolewazo.wakati mwingine sio hadi mtu acoment nayeye bali kunakundi wanao jifunza kwakusoma tuu bila hata kugoa maoni yao.
Kwahapa nimedeal kuangalia ninani yupo sahihi na anaenda vizuri kuisimamia hoja yake..
Kifupi sana mpinzani wako ashaishiwa point asitufanye sisi wajinga kama hoja hana atulie nasio kutoka n'je ya mada.
 
KIFUPI SANA MUNGU NIKWAMBA MUNGU AKIJULIKANA TAYALI AMESHAPOTEZA SIFA YAKUA MUNGU.HAYUPO MTU AU KIUMBE YOYOTE DUNIANI HAPA AU ANGANI ANAE MJUA MUNGU..
ZAIDI YAHAPO NIUTAPELI NAKURAGHAI WATU TUU.
MUNGU HAWEZI KUJITHIBITISHIA UWEPO WAKE YEYE? NAWALA BINADAMU HUWEZI KUDHIBITISHA UWEPO WAMUNGU..ZAIDI YAHAPO NIUTAPELI.KITENDO CHAMUNGU KUFANYA MBINU FLANI ILIWEWE UKILI NAUAMINI KAMA YUPO KINAMPOTEZEA SIFA YAKUITWA MUNGU MKUU MJUZI WA KILA KITU.
NAWEWE BINADAMU KINYUME CHAKE NIHIVO HIVO.
MUNGU HAYUPO KWENYE UWEPO WALA KUTOKUEPO,MUNGU HAJULIKANI WALA AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI.
KADILI UNAVYO ZIDISHA MBINU ZAKUMJUA MUNGU KWAUNDANI NDIVYO UNAZIDI KUPOTELEA KWENYE KICHAKA KIKUBWA ZAIDI CHAKUFELI.
 
@Rabbon: Ikiwa wewe unaamini sisi tusioamini hayo mambo yako ni Vipofu. na wewe unaona. Hebu Tuambie Rangi ya Blue Ikoje, Ili tuamini kama kweli unaiona.
Haiwezekani Hadi mkubali kwanza kuwa ninyi ni vipofu Ili mpewe macho Kisha mueleweshwe uwepo wa Mungu.
 
Hujajibu swali! Sijauliza kuhusu uwepo wa Mungu hapa, nakuuliza ikiwa wewe unadai unaona, na unafahamu rangi ya Blue, Tuambie hiyo rangi ikoje ili tuamini kama kweli unaiona.
Huwezi Kutuambia Mungu unamuona ikiwa hata rangi inayodai unaiona huwezi kuielezea tukakuelewa.
Isije kuwa na wewe mwenyewe ni kipofu kama sisi ila bado hujajistukia.
 
Hapa upo sahihi kiranga jamaa asilete janja janja..kifupi mijadala kama hii inapo kua inaendelea nikwamba nyuma yake kunawatu wengi wanafatilia hoja zitolewazo.wakati mwingine sio hadi mtu acoment nayeye bali kunakundi wanao jifunza kwakusoma tuu bila hata kugoa maoni yao.
Kwahapa nimedeal kuangalia ninani yupo sahihi na anaenda vizuri kuisimamia hoja yake..
Kifupi sana mpinzani wako ashaishiwa point asitufanye sisi wajinga kama hoja hana atulie nasio kutoka n'je ya mada.
Na mimi ndicho nilichoona hicho.

Huyu si mtu anayeweza kujifunza au kubadili mawazo.

Si mtu anayeweza kukubali kakosea, hata kwenye kitu kidogo.

Alisema siwezi kurudi hapa, nimekimbia. Nikarudi. Nikamwambia nimerudi, kubali ulikosea kusema siwezi kurudi. Mpaka sasa hajakubali kwamba alikosea.

Kwa hivyo, huyu hatumii mantiki, anabishana kutetea upande wake tu.

Na kwa hiyo, watu wengine wanaweza kunishangaa, kwa nini nabishana na mtu kama huyo?

Jibu umelitoa wewe vizuri sana.

Kuna watu wengine wanaofuatilia mazungumzo wanaona mbivu zipi na mbichi zipi.
 
KIFUPI SANA MUNGU NIKWAMBA MUNGU AKIJULIKANA TAYALI AMESHAPOTEZA SIFA YAKUA MUNGU.HAYUPO MTU AU KIUMBE YOYOTE DUNIANI HAPA AU ANGANI ANAE MJUA MUNGU..
ZAIDI YAHAPO NIUTAPELI NAKURAGHAI WATU TUU.
MUNGU HAWEZI KUJITHIBITISHIA UWEPO WAKE YEYE? NAWALA BINADAMU HUWEZI KUDHIBITISHA UWEPO WAMUNGU..ZAIDI YAHAPO NIUTAPELI.KITENDO CHAMUNGU KUFANYA MBINU FLANI ILIWEWE UKILI NAUAMINI KAMA YUPO KINAMPOTEZEA SIFA YAKUITWA MUNGU MKUU MJUZI WA KILA KITU.
NAWEWE BINADAMU KINYUME CHAKE NIHIVO HIVO.
MUNGU HAYUPO KWENYE UWEPO WALA KUTOKUEPO,MUNGU HAJULIKANI WALA AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI.
KADILI UNAVYO ZIDISHA MBINU ZAKUMJUA MUNGU KWAUNDANI NDIVYO UNAZIDI KUPOTELEA KWENYE KICHAKA KIKUBWA ZAIDI CHAKUFELI.
Huoni kwamba hapa umeanza na a priori fallacy ya ku assume kwamba Mungu yupo?

Vipi ikiwa Mungu hajulikani kwa sababu hayupo?

Unakubali kwamba tunaweza kujua mambo katika ulimwengu kwa kuuchunguza ulimwengu kimantiki?

Unakubali kwamba hatuhitaji kujua namba zote ili kujua kwamba katika base ten math, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2?

Unajua kwamba katika timeline ya kawaida, binti mwenye umri wa miezi 6 leo, hawezi kuwa mama mzazi aliyemzaa kibaiolojia mwanamme mwenye miaka 30 leo bila hata kumjua mama mzazi wa huyo mwanamme?
 
Haiwezekani Hadi mkubali kwanza kuwa ninyi ni vipofu Ili mpewe macho Kisha mueleweshwe uwepo wa Mungu.
Uwezekano wa upofu kuwapo ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwapo, ulimwengu aliouumba usingeweza kuwa na upofu.

Uzi Umegeuka Moto, na wasiwasi Aliyesema umekimbia kakimbia yeye.
 
Back
Top Bottom