Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,081
- 22,795
Kwa kuwa
Naamini kuwa
- - wapo wanaojiita wapinga Ufisadi lakini hawako tayari kuipiga vita CCM.
- - wapo wanaohusishwa na Ufisadi lakini wanaendelea kukukumbatiwa ndani ya CCM.
- - Uongozi wa juu wa CCM umeshindwa kuwashughulikia mafisadi ndani ya CCM.
- - wanachama wa CCM wanakataa mahusiano ya Ufisadi na CCM.
Naamini kuwa
- - anayepiga vita Ufisadi lazima awe tayari kuipiga vita CCM.
- - anayechukia Ufisadi lazima awe tayari kuikemea CCM.
- - anayeendelea kubaki ndani ya CCM anakumbatia Ufisadi.
- - anayeendelea kuiongoza CCM anabariki Ufisadi
Kidumu CCM, Udumu Ufisadi.