Andrew Chenge: Jersey bank account in spotlight

Kwa kuwa

  • - wapo wanaojiita wapinga Ufisadi lakini hawako tayari kuipiga vita CCM.
  • - wapo wanaohusishwa na Ufisadi lakini wanaendelea kukukumbatiwa ndani ya CCM.
  • - Uongozi wa juu wa CCM umeshindwa kuwashughulikia mafisadi ndani ya CCM.
  • - wanachama wa CCM wanakataa mahusiano ya Ufisadi na CCM.

Naamini kuwa

  • - anayepiga vita Ufisadi lazima awe tayari kuipiga vita CCM.
  • - anayechukia Ufisadi lazima awe tayari kuikemea CCM.
  • - anayeendelea kubaki ndani ya CCM anakumbatia Ufisadi.
  • - anayeendelea kuiongoza CCM anabariki Ufisadi

Kidumu CCM, Udumu Ufisadi.
 
Wanyantuzu walimpokea Chenge kwa sherehe na vitimbi!na Lowassa vilevile jimboni kwake.Hii ndio Tanzania ya Nyerere aliyotuachia!Mbunge wa Tanzania kuwa na account New Jersey ajabu sana!
 
Hivi ni kosa kuomba msaada toka nchi nyingine kama vile UK, waongoze PCCB at least for 5yrs? Nionavyo mimi kwa uwezo (ufahamu) wa watalaam wetu na uoga wa kuthubutu PCCB haiwezi kuwakamata mapapa wa ufisadi. Ukifikiria issue ya Kagoda, Richmond, yule mzungu wa rada na akina Chenge, ni ushahidi tosha kwamba PCCB ovyo.

Naunga mkono wazo lako hata Ikulu tumtafute ambaye si Mtanzania Mkapa na Kikwete wote ni shaghala baghala tu na walikuwa/wako busy kujikusanyia utajiri wao, familia zao na marafiki zao wa karibu. Kagame anamaliza muda wake pale Rwanda ingekuwa inawezekana huyu angeisaidia sana Tanzania kupata maendeleo ya kwelli badala ya hawa mafisadi na wasanii.
 
Wameamua kulindana kwa gharama yoyote ile. Ngoja tuone huu mwendo wanaokwenda nao utawafikisha wapi ingawa historia inaonyesha mwisho wake huwa sio mzuri. Mtuhumiwa kama huyu bila kujari ukubwa alionao ilibidi tuonyeshe na sisi tuna institution zinazofanya kazi. Tunashindwa mpaka waingereza watuonyeshe njia. What a pity!!
 
By Dolores Cowburn

A JERSEY bank account owned by a former Tanzanian minister could be investigated by the Serious Fraud Office, following the announcement of plans to prosecute British Aerospace.

A statement released by the SFO yesterday said that it intended to seek the UK Attorney General’s consent to prosecute in relation to alleged overseas corruption.

It follows the investigation carried out by the SFO into the business activities of BAE Systems in Africa and Eastern Europe.

It is understood that Tanzania’s former infrastructure minister, Andrew Chenge, had £504,000 in a Jersey account that allegedly came from BAE. Mr Chenge was the poverty-stricken country’s infrastructure minister when it bought a £28 million radar system from BAE.

Jersey authorities, including the Jersey Financial Services Commission and the Joint Financial Crimes Unit, have previously refused to comment on the subject.

Kisheria SFO hawana nguvu zozote za kumlazimisha JK amfikishe Chenge mahakamani isipokuwa wanachoweza kufanya ni kutoa tu ushauri kuhusu wafanywe nini waliohusika na rushwa hii haramu!

Tunarudi palepale;JK anasita kumfikisha Chenge kwenye mahakama za sheria kwa sababu ya kuhofia kujulikana mengi akiamua na yeye Chenge kusema wenzake walipokwenda kujilimbikizia mali zao za rushwa!

Hata mtoto mdogo anajua kuwa kwa kipato halali Chenge hawezi kuwa na hata nusu ya pesa hizo,lkn je ni "panya gani atamfunga paka kengele"?
 
SFO wanafiki tu wangeanza na Claire Short

Mkuu Eddie,

Hebu tukumbushe nini unafiki wa SFO!!! Claire Short alifanya nini unachokijua wewe ambacho SFO wanapashwa waanze naye. Tukumbushe tafadhali!!!!

Tiba
 
aliseha hivyo ni vijisent akimaanisha wengine wanakula mapande makubwa zaidi. aliuwa sahihi
 
Hebu kwanza anyang'anywe hizo pesa, halafu ndipo tuone atakavyokasirika na kama hasira hizo zitamfanya awataje wengine waliomegewa mgao huo kusudi wakose wote.
 
Nadhani tutaona jeuri ya 'Vijisenti' kama itafanya kazi yake kikamilifu mbele za SFO.

Achana na PCCB ya Tanzania inayofanya kazi ya kuwalinda wezi wa mali zetu na kusahau kuwa taifa hili ni letu na kuna siku tutalitia mikononi wenyewe! Soon, very soon...
Namkumbuka sana Edward Moringe Sokoine!
 
Ingekuwa anayeshughulikia kesi hiyo ni Feleshi na wezake kina Hosea basi ujue ukweli ungepindishwa... Mkuu SFO wakifanya tunayoyaona Bongo basi nitaamini hakuna haki duniani...

Akiwa msafi na wamsafishe! Akipatikana na uchafu na wampakaze uchafu wake...!

Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi....Jamaa vielelezo vyote hadi hiyo a/c inamnyooshea kidole, vilaza wetu ((((( sorry, viongozi wetu))))) kimyaaa!, na lijamaa bado linatesa!! Yaani sijui niseme nini, nimeudhika sana.

Sijui Tanzania ililaaniwa na nani, yaani nashindwa hata kuelewa hao wanaoiongoza wanalalaje usiku.

Mkuu Choveki,

.....yaani inaudhi sana...........mijitu bado iko madarakani tu pamoja na kashfa zote hizi........

Ndio maana nikamwambia rafiki yangu Invisible kuwa ni vizuri watusanyie "facts".....kwani ipo siku watasimama mbele ya sheria....kama si wao basi wajukuu zao.........labda wahame nchi..........damn!
 
Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...


Kwa kuwa

  • - wapo wanaojiita wapinga Ufisadi lakini hawako tayari kuipiga vita CCM.
  • - wapo wanaohusishwa na Ufisadi lakini wanaendelea kukukumbatiwa ndani ya CCM.
  • - Uongozi wa juu wa CCM umeshindwa kuwashughulikia mafisadi ndani ya CCM.
  • - wanachama wa CCM wanakataa mahusiano ya Ufisadi na CCM.

Naamini kuwa

  • - anayepiga vita Ufisadi lazima awe tayari kuipiga vita CCM.
  • - anayechukia Ufisadi lazima awe tayari kuikemea CCM.
  • - anayeendelea kubaki ndani ya CCM anakumbatia Ufisadi.
  • - anayeendelea kuiongoza CCM anabariki Ufisadi

Kidumu CCM, Udumu Ufisadi.

Hizi post mbili zime-sum up tatizo letu. CCM ndo tatizo. Hakuna aliye CCM mwenye uwezo wa kumnyoshea mwenzake kidole. Maana akinyosha tu, vitatu vingine vyamwelekea yeye na kum-convict. Wote ndani ya uongozi wa CCM ni fisadi. Wote wametumia pesa ya wananchi kwa ubinafsi wao. Hivyo ni dhahiri vita ielekezwe katika kupinga CCM na sio UFISADI.
 
chenge,rostam aziz,lowassa na mzee mmoja hivi mmakonde alikua usalama wa taifa walikua mara nyingi sana kikao chao pale kwenye bar inaangaliana na nyumba ya rostam mikocheni kila weekend kama leo unawakuta wanadiscuss mambo yao ya ufisadi.
 
Now we're heading to somewhere!


Mkuu

Hii kesi ina "politics" sana ndani yake. Att Gen anaweza kukataa kesi isiende mahakamani on "national security" au akasema haoni kama kuna "ushahidi wa kutosha" au anaweza kuruhusu iende mahakamani na Judge akaitupilia mbali kwenye preliminary hearing.

Hao BAE wanajiamini kwa kitu filani ndio maana wamekaa ku-settle, paundi nusu bilioni kwa BAE sio hela nyingi...lakini kuna kitu wanategemea kitawasaidia huko mbeleni. Hata wakishtakiwa wanaweza pia kuomba kulipa faini kabla ukweli wote haujajulikana huko mbele ya safari.

So, safari bado ni ndefu sana...kumbuka hili saga lote lina mkono wa Tony Blair all over it. Then again US DoJ is also looking into punishing BAE if they broke any of US laws in its dealings elsewhere...either way it's not looking good on the BAE side.
 
Politicians are the same all over. They promise to build a bridge even where they is no river.
 
Hii nzuri tuone kama usanii wao wanaofanya hapa bongo watawafanyia hao SFO......!
 
Inatia moyo ila inawezekana hii kesi ikaishia kimyakimya vilevile,there might be another spin. Hawa SFO nao ni corrupted vilevile na wapo katika kulinda maslahi ya Labour party, hili deal labour walilipa baraka na Claire Short alijua kila kitu kwenye hili deal ingawa anajifanya eti alilipinga lakini hakuweza kulizuia? Isitoshe hawa SFO walishindwa kudili na ufisadi mkubwa zaidi wa BAE kuuza silaha Saudi Arabia kwa hio sina tamaa kubwa ya kurudishwa vihela vyetu.

From BBC:
'Explosive investigation'

The BBC understands that the SFO wanted to strike a deal that would involve BAE pleading guilty to charges of corruption and agreeing to pay a substantial sum in compensation - between £500m and £1bn - however no deal was done.

Hii inaonyesha wazi kwamba hawa SFO nao ni Corrupted.
 
Wamuachie tu hela "zake".. Mbona wana CCM wenyewe wamemkumbatia kwenye chama chao? Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...

You are not serious now are you?
 
Namuunga mkono Mwanakijiji with a spin!

Mafisadi waachiwe hela zao, waishi maisha marefu lakini wakumbuke tutawaburuza mahakamani hata wakiwa na "MIAKA 90". Hapo ndio watajua joto ya jiwe!

Watoto, wajukuu, na vitukuu watajua kumbe "BABA ALIKUWA MWIZI NA FISADI". Kama uongozi wa sasa hautaki kushughulikia mafisadi, wasitegemee Tanzania itakuwa na uongozi legelege siku zote.

Can you imagine MPIGANAJI NUMBER MOJA wa UFISADI akiwa rais mwaka kesho watu wangapi watawekwa ndani?

Hakuna jambo lisilokuwa na mwisho, chamoto kinakuja.
 
Can you imagine MPIGANAJI NUMBER MOJA wa UFISADI akiwa rais mwaka kesho watu wangapi watawekwa ndani?

Nani atampa - nani anataka kwenda jela, thubutu. Mwana CCM anena no never, over my dead body ! They are ready to kill to stay in power - muulize Kivuitu wa Tanzania, Jaji Makame.
 
Kina Mwakyembe sasa ndio walitakiwa wapige kelele kuwa Chenge asimamishwe nafasi za uongozi ndani ya Chama kama wanapigana na ufisadi kikwelikweli...
Ka specialize kwenye Richmond, haya mengine hamjapa pesa na kamati ili ayafanyie kazi kwa hiyo hayajui na hayamhusu....ama amesha jijengea jina so ana angalia 2010...ndio siasa kaka...
 
Back
Top Bottom