S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 82
Inatia moyo ila inawezekana hii kesi ikaishia kimyakimya vilevile,there might be another spin. Hawa SFO nao ni corrupted vilevile na wapo katika kulinda maslahi ya Labour party, hili deal labour walilipa baraka na Claire Short alijua kila kitu kwenye hili deal ingawa anajifanya eti alilipinga lakini hakuweza kulizuia? Isitoshe hawa SFO walishindwa kudili na ufisadi mkubwa zaidi wa BAE kuuza silaha Saudi Arabia kwa hio sina tamaa kubwa ya kurudishwa vihela vyetu.
From BBC:
'Explosive investigation'
The BBC understands that the SFO wanted to strike a deal that would involve BAE pleading guilty to charges of corruption and agreeing to pay a substantial sum in compensation - between £500m and £1bn - however no deal was done.
Hii inaonyesha wazi kwamba hawa SFO nao ni Corrupted.
Not that simple.....SFO wanajua deal hilo sio rahisi kwa BAE kuliweza..achilia mbali kukubali.
Tatizo sio fedha za kulipa; hayo maandishi ya rangi nyekundu huku Dunia ya kwanza sio ya mzaha mzaha kama ilivyo Africa. Ndio maana BAE wamekataa...wakikubali hilo deal they are finished...kisheria hawataruhusiwa kuomba tender yoyote ndani ya Europe na the whole of North America (achilia mbali AIBU). Ni muhimu ufahamu kuwa USA peke yake wananunua bidhaa zenye thamani ya 50% ya mapato yote ya BAE kwa mwaka.