Anayeuza decoder ya dstv........

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Kama kuna mtu ana decoder ya dstv ambayo ameshindwa kuihudumia tuwasiliane
 
sema bei yako

naweza kukuletea ulipo

nina kidecoda kidogo sina mpango nacho tena maana nimeweka decoda 3 za Easytv, zuku na startimes. the total charges are still less than what i was paying dstv
 
sema bei yako

naweza kukuletea ulipo

nina kidecoda kidogo sina mpango nacho tena maana nimeweka decoda 3 za Easytv, zuku na startimes. the total charges are still less than what i was paying dstv

Okay, wenyewe wanakiuza 89,000 sasa kama nakipata kutoka kwako nataka kiwe way too low than that. Tag yourself
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom