Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,670
- 86,554
Aaghh kumbe shida ni kichwa?!Kila nyoka na kichwa chake 😂

Fitna za biashara kila pahala watu wana roho za umaskini sana.Habari Wanajf!
Leo Nikasema nijitoe out nikaenda Zangu Msasani kwenye hotel ya Golden. Nilipofika kama kawaida akaja Muhudumu akanipa Menu ya vinywaji nikachagua, Nikapewa menu ya chakula nikawa naperuzi ipi nichukue.
Macho yangu yakatua kwenye Grilled Fish! Basi nikamwambia niletee hii pamoja na Extra chips. Cha kushangaza huyu muhudumu akanambia " Sista nakushauri uchukue tu kuku! Yaani samaki wa hapa wanakaa hata wiki kwenye friji mpaka aje kupikwa radha yote ishaisha".
NIkachuja yale maneno nikamwambia ebu niletee hivyohivyo nihakikishe mwenyewe mimi sipendi maneno ya kuambiwa.
Baada ya muda samaki kaja, kumla hivi Uwiiii! Samaki ni mtamu balaaa! Nikaona hapa kuna bifu kati ya muhudumu na mtu anayesupply samaki.
Nikapanga nimwite kijana wakati wa kulipa nimpe vipande vyake yeye mwenyewe, kaja nikamwambia nataka kuswipe sina cash! Akanijibu ety mashine hatuna tunatumia lipa namba, nikaona huyu ana masihara Hotel ya kimataifa haina mashine ya kuswipe?
Nikamwambia nenda uje na manager wako, katoka kaja na mashine, nikamwambia SITAKI NAMTAKA MANAGER!!😂 akaja na mkaka nikamwambia wewe ndo manager akasema hapana Mimi ni supervisor.
Nikamuelezea jinsi huyu muhudumu anavyoharibu biashara kwa kukataza watu kula samaki, imagine ni watu wangapi wanaghairi kula samaki kwa sababu yake?
INSHORT nikawapa vipande vyao, Anayesupply samaki popote alipo akae akijua anafanyiwa FITINA!!!!!
Haya mambo yapo sana aiseeKama ni true uyasemayo, huyo mhudumu anajiskiaje kumharibia biashara tajiri yake, na mfanyabiadhara kwa ujumla! Anapata faida gani kuingiza uongo! Aise kama ndio mimi muajiri nampa mshahara wake akatafute kazi sehemu nyingine.
Haya mambo yapo sana aisee
Siku nyingine ukienda naomba unipe mwalikoHabari Wanajf!
Leo Nikasema nijitoe out nikaenda Zangu Msasani kwenye hotel ya Golden. Nilipofika kama kawaida akaja Muhudumu akanipa Menu ya vinywaji nikachagua, Nikapewa menu ya chakula nikawa naperuzi ipi nichukue.
Macho yangu yakatua kwenye Grilled Fish! Basi nikamwambia niletee hii pamoja na Extra chips. Cha kushangaza huyu muhudumu akanambia " Sista nakushauri uchukue tu kuku! Yaani samaki wa hapa wanakaa hata wiki kwenye friji mpaka aje kupikwa radha yote ishaisha".
NIkachuja yale maneno nikamwambia ebu niletee hivyohivyo nihakikishe mwenyewe mimi sipendi maneno ya kuambiwa.
Baada ya muda samaki kaja, kumla hivi Uwiiii! Samaki ni mtamu balaaa! Nikaona hapa kuna bifu kati ya muhudumu na mtu anayesupply samaki.
Nikapanga nimwite kijana wakati wa kulipa nimpe vipande vyake yeye mwenyewe, kaja nikamwambia nataka kuswipe sina cash! Akanijibu ety mashine hatuna tunatumia lipa namba, nikaona huyu ana masihara Hotel ya kimataifa haina mashine ya kuswipe?
Nikamwambia nenda uje na manager wako, katoka kaja na mashine, nikamwambia SITAKI NAMTAKA MANAGER!! akaja na mkaka nikamwambia wewe ndo manager akasema hapana Mimi ni supervisor.
Nikamuelezea jinsi huyu muhudumu anavyoharibu biashara kwa kukataza watu kula samaki, imagine ni watu wangapi wanaghairi kula samaki kwa sababu yake?
INSHORT nikawapa vipande vyao, Anayesupply samaki popote alipo akae akijua anafanyiwa FITINA!!!!!
kumbe ni kweli jf kuna watu wazito tukaja nikamwambia nataka kuswipe sina cash!