Anatembea na mke wa mtu, tena mjamzito wa miezi tisa

I guarantee you soon hicho kiumbe tumboni kitam-modoa hiyo zana yake na kuiresize kwa meno!!! unadhani kinafurahi jamaa anavyokisokomeza sokomeza kila siku?...we subiri utaniamabia
 
Brother tatizo watoto Wa kino makuzi mengi.....
Una hofia watajipigia na wewe ukioa?
 
kwa upande wa sheria ninaweza kusema inamadhaifu kwa sababu kwa kosa kama lakufumaniwa eti unadai fidia tu na si vinginevyo!
 
nadhani kwa makosa kama hayo hukumu ya kifungo na fidia vyote vinahitajika kwa pamoja ili kukomesha tabia chafu za kutembea na mke ambae si wakwako.
 
Daaah dogo huko tumboni anakunywa shahawa tu, hatari sana hii
 
Wengine duniani makabila au ukoo au mila... wakitenda hayo inaleta mabalaa mbali mbali hadi mwenye mimba atubu. Wakati mwingine mabaya yanakuwa yameshatokea au mwanamke lolote linamtokea baada ya kujifungua, au wengine hata kujifungua hawawezi hadi watubu ni mengi tu.

Ila huyo baada ya kuzaa sidhani kama atamtamani mkaka huyo tena...labda ny*ge za msimu kwake ndio kapata.
 
Inasikitisha sana.... Unaenda kumtongoza mjamzito!!!! Na mwanamke bila hata aibu u achepka na ujauzito??!!!! Binadamu sasa hvi tunamatendo ya ajabu na yakutisha mpaka shetan anaogopa na kushangaa....
 
Hata watoto tumboni kwa mama yako wanajua kutofautisha kati ya baba/ mchepuko.

Watoto mapacha tumboni kwa mama yao wakiwa wametuliaa..

Mara kukaanza mchezo , purukushan za kugegedaa zikiendelea

Yule wa kwanza: akamwamsha mwenzake “ baba amewahi leo??!!“

Wa pili: huyo sio baba, baba huwa havai mpira. Mama amechepuka tena!!!!!
 
Huyo mwanamke sie kabisaaaaaaaaaa,mie nnavyo chukia huo mchezo nikiwa na mimba ilobaki basi tuu,halafu huyo mwanamme haogopi tumbo lina tisha kama nini hamuonei huruma mama na mwenzie? haya anasiku yake na yeye atawacha maisha au hatoongea lilomkuta.
 
Ndo wanajifungua mtoto ka taahira.. Mtoto anatoka anakutana na uchafu wa mjanaume.. Shit.
 
Kuna kitu hujakielewa kabisa

wanawake wajawazito they dont think straight

hormones zinabadilika na kuwabadili sana
kuna hadi 'kichaa cha mimba'
hivyo anaweza fanya lolote lile.....hupaswi kabisa kumlaumu huyo dada

sanasana labda huyo mwanaume
 
Ufusalorisation is a process where........ Nakuunga mkono hata mimi mwenyewe sina sifa za kumiliki bastola maana mtu kama huyu ukimkuta unamfanyaje au unipiga risasi kwenye pu.mbu
 
Back
Top Bottom