mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,708
- Thread starter
- #41
Nilikua sijalijua hiliKuna kitu hujakielewa kabisa
wanawake wajawazito they dont think straight
hormones zinabadilika na kuwabadili sana
kuna hadi 'kichaa cha mimba'
hivyo anaweza fanya lolote lile.....hupaswi kabisa kumlaumu huyo dada
sanasana labda huyo mwanaume