Pole sana, hayo ndiyo majaribu ya dunia! Piga magoti mwambie mungu matatizo yako hakika atakuokoa na ibilisi
habari,niliachwa na mpnz wangu nikajitahid kummbembeleza for good 5months nilpoona pozi zimezid nikaenda kwa wazazi wake maana tulifunga ndoa ya kimila mwisho wa siku familia yake ikanipa nyumba na pesa kidogo kwa ajili ya kutunza watoto maana nimezaa nae mapacha watatu basi nikaendelea na maisha na wanangu wiki kadhaa zilizopita nilikutana na my x town akastuka kuniona toka hapo amekuwa akinisumbua nirudshe nyumba na hela za wazaz wake et sikumpenda ndio maana nimependeza after ye kuniacha
me ni mmasai kwa mama mmbulu and my x was mmasai pure