Anataka kuitoa!

Jamani poleni leo nimekutana na mshikaji wangu akanieleza yanayomsibu jamaa ali-do mwezi wa 8 na barmeid. jana yule barmeid ameenda kupima akakuta ana ujauzito cha kusikitisha barmeid anataka akatoe ila mshikaji hataki . Jamani mnamshauri afanye nini waungana kwani jamaa anataka kuoa
Anapiga baamedi kavu kavu? duh ukimwi...
 
Pole sana dogo, unapenda kujitoa muhanga??baamedi unatembea naye bila kinga?unategemea nini?unadhani uko mwenyewe?
 
Mwambie amtishie kwenda kumshtaki police...au aende akareport kabisa atoe maelezo, achukue RB, ikitokea kaitoa amkamate manake ni muuaji huyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom