Anataka kuitoa!

Jamani poleni leo nimekutana na mshikaji wangu akanieleza yanayomsibu jamaa ali-do mwezi wa 8 na barmeid. jana yule barmeid ameenda kupima akakuta ana ujauzito cha kusikitisha barmeid anataka akatoe ila mshikaji hataki . Jamani mnamshauri afanye nini waungana kwani jamaa anataka kuoa

Huyo mshkaji anauwezo wa kuilea hiyo mimba au anataka amwongezee mzigo huyu barmed
Bora barmed achomoe tu
 
Jamani Mbona mshikaji anataka kuaribu kazi ya bar meid, we unafikili kukaa na mimba miezi tisa atakula wapi? Mwambie mshikaji amtoe wasiwasi kwanza ktk hili halafu aone kama ataitoa.
 
Jamani Mbona mshikaji anataka kuaribu kazi ya bar meid, we unafikili kukaa na mimba miezi tisa atakula wapi? Mwambie mshikaji amtoe wasiwasi kwanza ktk hili halafu aone kama ataitoa.

Swali hapa mshikaji anaweza kumlea huyo bar medi? Bora aitoe tu awe huru aendelee kujikamatia vichwa kama kawa.
 
Baba enock! Nakuaminia sana hasa ktk kutoa ushaur humu jf lkn kwa hilo la kutembea na barmeid nimekuondolea nyota moja ya heshima
Kumbe wakat mwingne ni rahisi sana kutoa ushauri kuliko kujishauri kweli mganga hajigangi!
 
Jamani poleni leo nimekutana na mshikaji wangu akanieleza yanayomsibu jamaa ali-do mwezi wa 8 na barmeid. jana yule barmeid ameenda kupima akakuta ana ujauzito cha kusikitisha barmeid anataka akatoe ila mshikaji hataki . Jamani mnamshauri afanye nini waungana kwani jamaa anataka kuoa

wakati wana do walishakubaliana kabla kuwa anataka kumwoa?
Au alikuwa anatest kama nayeye anaweza kuweka mimba?
Hebu mwulize huyo mshkaji wako ana umri gani. maana kuoa barmeid kuna shughuli pevu! simu nyingi wanapokelea chooni!
Pia inawezekana barmeid anamdanganya mshkaji wako ili apate pesa ya kujikimu, ila anataka kumkamatisha kwa vile wakati wana do hawakutumia kinga! yalishawahi kunikuta kwa mwanafunzi kipindi fulani, akataka kunidanganya eti ana mimba, hivyo anataka laki mmoja kwenda kutoa, nikamwambia kesho aje gheto bila wasi wasi nitampa hiyo pesa. hakujua gheto kwangu nina kipima mimba (UPT). Nilipompima nikakuta negative, nilimkimbiza kwa mbio za kijeshi!
 
Rafiki yako anajiamini sana, anaenda kavu kavu kwa bar maid! Ushauri wangu, achunguze kwanza kama kweli mimba ni yake maana hawa bar maid kila mtu anachukua bwana! Kama ni yake amdanganye ata mwoa, akisha jifungua tu, achukue mtoto alea tu!
 
no mshikaji ni kijana mdogo tuu umri wa 24 hajawahi oa

Huu ni upuuzi mtoto mdogo wa miaka 24 anachukua barmaid? Na anamega bila kinga?!
It can't click in my head u knw!
Huyo dogo hajtambui na huyo barmaid anadai hajatimiza malengo yake yapi? Analipwa sh ngap au ni malengo ya kuambukiza wadudu watu kiasi gani?
Kama anamalengo is better auze mchicha kuliko kuwa mhudumu na mwisho wa kazi anaenda kulambwa na watoto wadogo tena bila kinga.

JF naamini wengi we2 humu ni educated then let's smtms b negative to threads posted with heading in dis way.
 
sometimes don assume that we are as you assumed! This matter is very serious so don think that i am wasting your and my time doing nonsense. It is a serious matter let us help him unless otherwise i wl provide u with his phone number.Labda nimekuelewa vibaya ila tambua education, civilation and love are different and complex aspects of life. I am very sorry for this broken writing.
 
Jamani poleni leo nimekutana na mshikaji wangu akanieleza yanayomsibu jamaa ali-do mwezi wa 8 na barmeid. jana yule barmeid ameenda kupima akakuta ana ujauzito cha kusikitisha barmeid anataka akatoe ila mshikaji hataki . Jamani mnamshauri afanye nini waungana kwani jamaa anataka kuoa

Kama kweli anampenda mwambie huyo jamaa aende akamvishe pete ya uchumba fasta huku akifanya mpango wa kumpeleka kumtambulisha kwa ndugu zake, pia awe nae karibu akimpa ma care A, huyo dada akiona anathaminiwa hatoitoa mimba. Pia nahisi huyo dada aliwahi kuchezewa na wanaume (na player boys) siku za nyuma halafu wakamtenda na ndio maana anawaza kuitoa tu wakati si kitu kizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom