Anasa darini akijaribu kuiba Dukani

Aache kuiba, next time itakula kwake, raia tuna hasira sana na hawa wanaotuibia
 
Hahaha nimeisoma hii habari nimegundua watu wanapenda sana kutunga vitu anyway tukio.hili limetokea iringa stand kwenye duka la mfanyabbiashara mmoja nanilikwepo eneo latukio kilichombana ni hizo nondo tu hamna kingine na akitolewa kwa ushirikiano wa raia na polisi kwa kuzikata hizo nondo thats. All
Duuu watu washaamini kuwa kuna nguvu za giza hapo bora umewafungua macho mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom