Anasa darini akijaribu kuiba Dukani

Hii technology hai apply kwenye wake zetu tumechoka kulinda!!

Hio ina-apply labda mgosi Mshana anafahamu technology na kumtuma panya kunyakua dushelele na kukimbia nayo darini.

Panya anaweza kuja kuchukua dushe na kuirudisha ni baada ya mateso makali ya kisaikolojia.
 
Hapa kazi tu, dah hiyo science inabidi iletwa na kupewa seminar watu jinsi ya kuitumia maana wezi wamejaa uku mtaan
 
Huyo jamaa mwenye duka sasa atapata usumbufu wa kila mtu akitaka amfundishe hiyo technologia.
 
Wezi wanarudisha sana Maendeleo ya watu, bora kujilinda kwa njia zozote zile. !
 
nimeangalia video kwa makini huyu mleta mada kaamua kudanganya na kuwaaminisha kuwa kanaswa na nguvu za kichawi.
nilichokiona kwenye video kanasa kwenye siringibord iliyosukwa na nondo ndio maana ili kumtoa wameamua kukata nondo.
 
Hahaha nimeisoma hii habari nimegundua watu wanapenda sana kutunga vitu anyway tukio.hili limetokea iringa stand kwenye duka la mfanyabbiashara mmoja nanilikwepo eneo latukio kilichombana ni hizo nondo tu hamna kingine na akitolewa kwa ushirikiano wa raia na polisi kwa kuzikata hizo nondo thats. All
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom