Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
labda si rizki.... kama vipi hebu check nae uone kama anapanda mtungi...
Sidhani kama ni ushauri mzuri wa kumwambia mtu apoteze utu wake kwa kuhakikisha eti kama mwenzie anafunction
labda si rizki.... kama vipi hebu check nae uone kama anapanda mtungi...
Michael.....dah!!!
Hii yote kukosa ujasiri na kujiamini mbele ya kinadada! inasababishwa na malezi.Dah nini wakati umetaka ushauri kama poa sema poa kama siyo toa 7bu
Guys..am just a friend,ni rafiki wa boyfriend wangu,hawezi kunitongoza mimi please.let make it clear.
Utamuunganishia jamaa namna hiyo, lakini akifika eneo la tukio huoni kwamba itakuwa ni kituko?
Jamaa atashindwa jinsi ya kuanza kupakua juis ambayo tayari iko kwenye jagi!...huh!