Anapenda kukata tamaa mapema

huyo domo zege
1. kama we ni mwanamke unajua tatizo lake kwanini wewe usimsaidie au na we anaogopa kukutongoza?
2. siku hizi wanawake hawaitaji hadithi nyingi sana ni wa kukamata mkono kilaini tu huyo wa wapi hizo habari za kupendana zilikuwa zamani za wazazi wetu hata wao walikuwa hawapendani ndiyo mana walikuwa wanachaguliwa na wazai wao.
3. upande mwingine kama hawezi akae kimya tu atajiokoa na aka kaugonjwa kasasa kachanjo kamekuwa kastore tu mi sijakaona kama kweli kapo.

4. vikishindikana hivyo vyote aandike barua kama mwanafunzi wa shule ya msingi. nayo pia imo?////?//
 
Guys..am just a friend,ni rafiki wa boyfriend wangu,hawezi kunitongoza mimi please.let make it clear.
 
Michael.....dah!!!

Dah nini wakati umetaka ushauri kama poa sema poa kama siyo toa 7bu
Hii yote kukosa ujasiri na kujiamini mbele ya kinadada! inasababishwa na malezi.
Malezi ya watoto wa geti kali, mbwa mkali, shule unapelekwa na kufuatwa, hauna uhuru hata wa kuwachungulia dada zako wa kambo, hata kumgonga housegirl unaogopa, ndio matokeo yake haya.
Hivi watoto wa kiswazi waliocheza kombolela, atakuwa domo zege kwa mwanamke kweli? Kwa waliocheza kombolela wanajua hii habari. ni full experience kwa mambo ya kibabababa na kimamamama.

 
Guys..am just a friend,ni rafiki wa boyfriend wangu,hawezi kunitongoza mimi please.let make it clear.

Fanya hv naamini ana simu na huyu best yake ana simu ka kashindwa kutuma hata msg nakuomba hili.

Mgonjwa akiwa anataka kufa na hataki kunywa dawa mkaben tu anye il azuie kufa.

Chukua simu yake andika msg kama bf wako alivyotumia kukutongoza/ au andika uhalisia mpe ukweli mtongoze kwa msg ndefu yenye maelezo yote thn tuma kwa huyo mtu!
Baada ya hapo waache akishndwa kuendelea inabid tumtafutie bwana sasa!
 
Utamuunganishia jamaa namna hiyo, lakini akifika eneo la tukio huoni kwamba itakuwa ni kituko?
Jamaa atashindwa jinsi ya kuanza kupakua juis ambayo tayari iko kwenye jagi!...huh!

Hahahahahahahaha itabidi demu ndie aanze kumpa somo.sipati picha wakati jamaa anaona aibu kuchojoa nguo
 
Marida hili ni tatizo kwa wanaume wengi sana. Kama hao wote wanajua kusoma na kuandika, njia rahisi mno ni meseji yenye UZITO unaotakiwa. Embu nitumie ''self disclousure''. Mimwenyewe kuna binti nilimempenda sana. Nikaanza vitendo kama kumpigia simu na kumjulia hali mara kwa mara. Baadaye nikamwambia kuna jambo nataka kukushirikisha ni very essential! Zikapita siku, daah alikuwa na dukuduku ya kujua ni jambo gani hilo muhimu. Nikam'promise' n'tamtumia kwenye msg. Nilikuwa naogopa, kumwambia kwenye simu. Baadaye nikatuma Mesej yenye Ujazo! Mpaka leo sijajibiwa, ila naamini kwa 99% atakubali. EMBU, KAMA Ana nia ya KUMWOA mshauri atumie iyo njia!!! Ni rahisi na haraka na ya kuaminika
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom