Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,406
haraka haraka unaweza ukadhani ni Dickson Makwaiya "Bambo" akifanya ukatuni wake.
Nadhani atakuwa amefiwa na ndugu yake wa karibu sana.
AAAAAAAAAAAA jamani Njaa ni kitu kibaya sana hizo nguvu na machozi angevipeleka shambani nadhani asinge muwaza hata huyo mwizi wa Twiga
Bwana Maige alipoenda kwao wananchi wake walilia sana eti bwana Maige ameonewa, kuna ambao pia walipiga maombi ili Bwana Maige arudi katika uwaziri wake. Kwahiyo huko vijijini kwao wanaamini Maige ametengenezewa fitna kumtoa katika uwaziri. Katika picha sio bwana Bambo, ila jina lake halisi ni Dickson Makwaya na sio Makwaiya.haraka haraka unaweza ukadhani ni Dickson Makwaiya "Bambo" akifanya ukatuni wake.
Nadhani atakuwa amefiwa na ndugu yake wa karibu sana.
Choonde chonde! Ulevi noma!
na wanaliwa kweli
ComedianElimu ni ufunguo wa maisha angesoma huyu asingepeleka njaa zake kwa mwanaume mwenzake. pu***** zake
someni msimame kwa miguu yenu somesheni watoto wenu la sivyo watakuja kulilia wanaume wenzenu kama hivi.
sio fresh. pigana usomeshe wanao tujenge kizazi kinachojitegemea sio ujinga kama huu.
[AT
TACH=CONFIG]54832[/ATTACH]
Ukute Hakukuwa na pilau huko....