Edoedward1
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 795
- 308
Daah hana haibu huyu jamaa,nataman kumtukana na asikie ila dah,Tupa kuleeee mshamba tu huyo!!!
Elimu ni ufunguo wa maisha angesoma huyu asingepeleka njaa zake kwa mwanaume mwenzake. Someni msimame kwa miguu yenu somesheni watoto wenu la sivyo watakuja kulilia wanaume wenzenu kama hivi.
sio fresh. pigana usomeshe wanao tujenge kizazi kinachojitegemea sio ujinga kama huu.
View attachment 54832
Jamani angalieni vizuri hata huyo mwizi (maige) analia kimoyo moyo.Elimu ni ufunguo wa maisha angesoma huyu asingepeleka njaa zake kwa mwanaume mwenzake. Someni msimame kwa miguu yenu somesheni watoto wenu la sivyo watakuja kulilia wanaume wenzenu kama hivi.
sio fresh. pigana usomeshe wanao tujenge kizazi kinachojitegemea sio ujinga kama huu.
View attachment 54832