Anachofanya Gwajima ni mikutano ya dini au siasa ya CCM? Kwa ushahidi huu ni halali kuzuia mikutano ya Vyama vya Upinzani?

Hamna kitu hapa ni wivu rudi toka ughaibuni ujiunge na harakati za Chadema, Gwajima sio polisi, sio CCM, sio serikali, wivu tu huo.
 
Patamu hapo!!!!!

Nimeuona mkono wa Bwana, ukiwainua wannyonge Toka chini hata juu.

Ni mkutano wa INJILI hauzuiliki, Kuwaombea Baraka viongozi wake wa Serikali mwishoni Pana kosa Gani???

Magu alijaribu kumzima mtu huyo kupitia konda ikashindikana ikabidi aseme;

NILETEENI GWAJIMAAAAAA!!!!!!

Huyo hazuiliki, Ana KIBALI Toka MBINGUNI.

Ameeeeen.
 
Mwasherati mkubwa, mcheza porn unatudanganya ana kibali toka mbinguni.
 
Endelea kulala,

Huyo Ansbert Ngurumo ndo anastuka Leo, we endelea kuvuta shuka. Badae!!!!
Nakuambiaje?! Nitaendelea kulala sana kwa raha zangu. Ila Gwajima atabakia kuwa mwasherati, mtumishi wa shetani, tapeli anayejirekodi wakati anafanya ngono huku akitapeli watu eti yeye ni askofu.
 
Huyu ni asset kubwa kwa mama maana atamsaidia sana kupata kura nyingi za Wasukuma 2025. Na kama zawadi yake atapewa uwaziri...
2.3996143343020641E18.jpg
 
Patamu hapo!!!!!

Nimeuona mkono wa Bwana, ukiwainua wannyonge Toka chini hata juu.

Ni mkutano wa INJILI hauzuiliki, Kuwaombea Baraka viongozi wake wa Serikali mwishoni Pana kosa Gani???

Magu alijaribu kumzima mtu huyo kupitia konda ikashindikana ikabidi aseme;

NILETEENI GWAJIMAAAAAA!!!!!!

Huyo hazuiliki, Ana KIBALI Toka MBINGUNI.

Ameeeeen.
Utapiamlo unasababisha upungufu wa akili
 
Mkuu

Itoshe tu kukuambia huyu mtu hata kama angekuwa TLP ya Mrema angekusanya watu!

Hata kama angegombea unamba mmoja angeupata tu!!

Ndio mbunge pekee wa ccm hata KULIKO Binadamu yeyote aliepo huko ccm AMBAYE Anaweza kujaza mikutano Bila msaada wa malori ya CHAMA na SERIKALI!!

Achana nayo hiyo;-

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike mapema"
 
Back
Top Bottom