Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
Basi huna nia. Ngoja nikatafute mfadhili mwingine.
jamani. Jamani nia ninayo Lizy! Au hutaki msaada wangu??

Pia wakati anapewa lift alikuwa kashikwa na uchungu kweli angeweza kumtambua mtoa lift?

sio usawa wa jk!
Pia wakati anapewa lift alikuwa kashikwa na uchungu kweli angeweza kumtambua mtoa lift?
Kweli kabisa hiyo naiona kwa mzee wangu kawasaidia watu wengi sana lakini sasa hivi wanamuona kama adui kwao kweli tenda wema nenda zako usingojee shukurani,