Amini Usiamini, Ukitenda Wema, Mema Yatakurudia. Kisa cha Rafiki Yangu Aliyeishi Dar.

Sawa kabisa! Unaweza msaidia mtu akaja kukutukana baadaye. Saidia, sahau! Ila hadithi kama hiyo hapo juu inaweza kabisa kutokea, dunia si kubwa sanaaa

Pia unaambiwja tenda wema nenda zako usingoje shukrani, shukrani atakuja yenyewe japo kwa kizazi cha sasa hilo hakina
 
ok lizy na ww ukiwa na shida niambie, sawa mrembo?! Nitakusaidia lol.

Mpatanishi umetumwa nini?Maana hapa nilipo tu sijalipa kodi tangu mwezi uliopita. . .weekend tu nimepata simu za landlord mara tano sema sipokei. Kesho nadhani ndie atakaeniamsha asubuhi.
 
Kuna mtu mmoja mara kwa mara ananitendea ubaya,Namwomba Mungu kila siku amuadhibu walau avunjike hata kiuno,cha ajabu jamaa anadunda kila siku,ndo maana nkauliza

Usimwombee mabaya ila mwombee tu baraka atakuja kuumbuja mwenyewe
 
Stori yako ni nzuri na inafundisha ila imekaa kama imetungwa maana unavyosema huyo mama alikuwa amemwandalia shamba wakati alikuwa hana mawasiliano nae alijua je atajakutana nae?

Pia wakati anapewa lift alikuwa kashikwa na uchungu kweli angeweza kumtambua mtoa lift?
 
Kweli kabisa hiyo naiona kwa mzee wangu kawasaidia watu wengi sana lakini sasa hivi wanamuona kama adui kwao kweli tenda wema nenda zako usingojee shukurani,
si kila unayemsaidia anakuwa na moyo kama huyo mama, wengine wanaishia kukufanyia vituko ile mbaya....
 
Mpatanishi umetumwa nini?Maana hapa nilipo tu sijalipa kodi tangu mwezi uliopita. . .weekend tu nimepata simu za landlord mara tano sema sipokei. Kesho nadhani ndie atakaeniamsha asubuhi.

ouh worry out, ni pm nikutumie kwa njia gani?
Fanya kwa pm si unajua hapa kuna wachawi lol
 
mimi kuna watu walinitendea ubaya
na kila siku sioni dalili za mungu kuwalipa huo ubaya wao lol
 
Watu ni wengi but binadam ni wachache,nakwa dunia ya sasa co kila mtu ni binadam,wengine wanapretend matatizo kumbe nia yao wapate chochote kutoka kwako na cku zote wanakuombea matatizo!mpe hongera rafiki yako,naamin ktk kutenda wema ila c kila mtu nikimstukia nitapeli tu nampotezea mazima!
 
Back
Top Bottom