Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

Huo niujinga. Kma kwako wanakuendea vbaya usifikrie dunia nzima inawaendea vbaya. Niwanawake unaokutana nao ww ndowakuivo, tafuta njia nyingine yakijifarij
Na kweli aise watu wanakuja jukwaani kujifariji, hawatafuti ushauri wanakuja kuwapa sumu na wengine humu ili na wao wone wanawake wote wako hivo.
 
kijana. Usijekutoa vioja vyako hapa kuharibia sifa wake zetu.

Sisi wengine Tuna kunywa Maji ya Chemi chemi zetu wenyewe Wala hatushei na Mtu.

Kama wewe chemi chemi yako unakunywa na wageni. Basi ujisemee nasfi yako ndugu.

Wapo wanawake wanaojiheshim sana. Na mimi nawapenda sana wanawake hawa akiwemo Mkewangu.
 
Salaam ndg zangu.

Ndugu zangu, karne hii katika suala la mapenzi ni karne mbovu pengine kuliko hata zilizotangulia.

Karne hii imeambatana na maendeleo makubwa ya teknolojia ambayo ndio hasa yamevunja ukuta wa uaminifu ktk ndoa/mahusiano.

Nadiriki kusema wazi kwamba hakuna tena mwananke wa peke yako ktk dunia hii. Najua wapo wengi watakaobisha na kubeza na hii ni kwasababu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii.

Wanawake wa karne hii wamekua wepesi sana kudanganyika, uwepo wa mawasiliano kama simu na mitandao ya kijamii ndio haswaaaa huwapoteza kabisa na akili zao nyepesi kama moshi wa sigara.

Zamani kulikua na ugumu kidogo kumfukuzia mwanamke hasa ktk mawasiliano ila leo hii kila uchwao anaviona vibwana vyake vya zamani mitandaoni na kila baada ya hatua anaombwa mawasiliano na wanaume wenye maneno lukuki mdomoni.

Hakika wanawake wanajisahau na hawajiulizi kwanini wanapendwa zaidi wawapo ndani ya ndoa zao? Jaribuni kuiambia hiyo michepuko kwamba unataka kumwacha mmeo iwaoe tuone nin kitatokea.

Binafsi naamini mke wangu si wangu peke yangu, tupo wengi ila nakuasa ukumbuke kutumia kinga uendapo kuadhibiwa ili usilete maradhi nyumbani. Nahua upo hapa jukwaani na naamini lazima utasoma uzi huu.

Wanaume wenzangu na sisi tufanyejeeee????

Sasa dada, yale mambo mengine utafanyaje? Manake ujuwe bila ile "dawa" hata kazi zako hazitaenda vizuri.
Hahaha. Ni kweli ila sasa nitafanyaje kama sijampata? Na mume wa MTU ukweli sijawaza kabisa. Hope mzee mwenzangu mungu atamleta kwa kuwa ameahidi hakuna atakayeishi peke yake. Hata Adam akimfanyia Eva. So my Adam is on the waya. Patient patient about his promise.
 
Wakati mwingine yafaa kujituliza kwa kujiambia maneno kama hayo. Pole lakini, labda ulikosea kufanya uamuzi/uchaguzi.
 
..mke w mtu amekua rahisi sana siku hizi...mimi sasa nina wajane watatu(wake za watu)...ambao mabwana zao wameshindwa kuwatia uzuri....sasa mimi huwapanga...hakika wanatoa kila kitu...na kunisumbua kwenye simu kama vile ndio wanatafuta mabwana....wake za watu tena wana watoto..ukiuliza wanasema hawatiwi vema na waume zao..tena wako radhi hata kulipia hotel tunapokutana..hamna gharama kabisa.....ni hatari...
 
Ngumu kumeza. Inabidi kuvunga ka hujui kitu, ukianza kuwaza hayo waweza kufa kwa BP halafu mume mwenzio atakuja kumfariji kipindi cha msiba, mie nikiwaza hapo daaah najiona tena mjinga

Na hii ndio sababu kwanini wanaume mnakufa mapema kuliko wanawake!
 
..mke w mtu amekua rahisi sana siku hizi...mimi sasa nina wajane watatu(wake za watu)...ambao mabwana zao wameshindwa kuwatia uzuri....sasa mimi huwapanga...hakika wanatoa kila kitu...na kunisumbua kwenye simu kama vile ndio wanatafuta mabwana....wake za watu tena wana watoto..ukiuliza wanasema hawatiwi vema na waume zao..tena wako radhi hata kulipia hotel tunapokutana..hamna gharama kabisa.....ni hatari...

R.I.P buriani nderingosha ngoja ukutwe uelekezwe kibla!
 
Salaam ndg zangu.

Ndugu zangu, karne hii katika suala la mapenzi ni karne mbovu pengine kuliko hata zilizotangulia.

Karne hii imeambatana na maendeleo makubwa ya teknolojia ambayo ndio hasa yamevunja ukuta wa uaminifu ktk ndoa/mahusiano.

Nadiriki kusema wazi kwamba hakuna tena mwananke wa peke yako ktk dunia hii. Najua wapo wengi watakaobisha na kubeza na hii ni kwasababu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii.

Wanawake wa karne hii wamekua wepesi sana kudanganyika, uwepo wa mawasiliano kama simu na mitandao ya kijamii ndio haswaaaa huwapoteza kabisa na akili zao nyepesi kama moshi wa sigara.

Zamani kulikua na ugumu kidogo kumfukuzia mwanamke hasa ktk mawasiliano ila leo hii kila uchwao anaviona vibwana vyake vya zamani mitandaoni na kila baada ya hatua anaombwa mawasiliano na wanaume wenye maneno lukuki mdomoni.

Hakika wanawake wanajisahau na hawajiulizi kwanini wanapendwa zaidi wawapo ndani ya ndoa zao? Jaribuni kuiambia hiyo michepuko kwamba unataka kumwacha mmeo iwaoe tuone nin kitatokea.

Binafsi naamini mke wangu si wangu peke yangu, tupo wengi ila nakuasa ukumbuke kutumia kinga uendapo kuadhibiwa ili usilete maradhi nyumbani. Nahua upo hapa jukwaani na naamini lazima utasoma uzi huu.

Wanaume wenzangu na sisi tufanyejeeee????
Hii ni Mada Chokonozi...
 
Back
Top Bottom