Ameniacha, i want to forget him.

Ayaaaaaa mama yangu jamaa katindua bikra alafu kasepa
Ushauri wa bure nitafute nikupe utaalamu bikra yako inarudi
Alafu ukipata mme mwingine usimuonjeshe umesikia mtoto mzuri? mpaka aje kuonekana kwa wazazi mfunge ndoa kabisa.

copy dat!
 
my dia nlikua mgeni wa mapenzi..bt now napata mwangaza.
karibu uwanja wa wasanii....weka Mungu mbele atakuongoza. Simple rule usihonge mwanamme unless unaplan ya kulea mwanamme. Usitoe uroda mbele mbele.....pia.
 
tatizo wanawake wengi mnaingia kwenye mpnz kichwa kichwa... Ngojeni tuwaonyeshe...
khe Tuko hiyo roho mbaya umeitoa wapi leo ?inaonyesha umelala vibaya leo au swaumu kaliiii
 
Last edited by a moderator:
hivi kuachwa kistaarabu ikoje na je huwa huumie?

kuachwa ni kuachwa tu pole utapata anayekustahili
Blaki Womani unaacha taratibu, yaani kama mlikuwa mnakutana mara 4 kwa wiki mnapunguza na kama mlikuwa mnamegana round 5 zinapungua hivyo hivyo kistaarabu
 
Last edited by a moderator:
Ayaaaaaa mama yangu jamaa katindua bikra alafu kasepa
Ushauri wa bure nitafute nikupe utaalamu bikra yako inarudi
Alafu ukipata mme mwingine usimuonjeshe umesikia mtoto mzuri? mpaka aje kuonekana kwa wazazi mfunge ndoa kabisa.

Fidel80 nilitegemea ungeweka 'downstream benefits/interests' into the equation.... yaani unamsaidia kurudishia bikra on condition that utaibanjua mwenyewe teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
nilipoona sina neno ikabidi nimshukie verse Tuko finaly uzeeni bana eti tukoee
dada Kilahunja hebu pitia hii mistari ya huyu mrembo kama itasaidia !!!!!!!!!!
Dolly Parton Holdin' On To Nothin'

We're holding on to nothing left to hold onto
I'm so tired of holding on to nothin'
The years have shown no kindness
For the hard times we've been through

We've squeezed the life from every dream
And still go right on bluffin'
With really nothin' left to hold onto
[ Lyrics from:]
Oh, why do we keep holding on
With nothing left to hold onto
Let's be honest with each other
That's the least that we can do
I feel guilty when they envy me and you
We're holding on with nothing left to hold onto

We were young and foolishly mistaken
Victims of a passion, much too strong to be denied
With only tears to show for all the years that we've been fakin'
God only knows how long, how hard we've tried

Oh, why do we keep holding on
With nothing left to hold onto
Let's be honest with each other
That's the least that we can do
HAYA
I feel guilty when they envy me and you
We're holding on with nothing left to hold onto

We're holding on with nothing left to hold onto
 
Last edited by a moderator:
Ayaaaaaa mama yangu jamaa katindua bikra alafu kasepa
Ushauri wa bure nitafute nikupe utaalamu bikra yako inarudi
Alafu ukipata mme mwingine usimuonjeshe umesikia mtoto mzuri? mpaka aje kuonekana kwa wazazi mfunge ndoa kabisa.

kweli kabisa ntafurahi ukimsaidia ili irudi.
 
khe Tuko hiyo roho mbaya umeitoa wapi leo ?inaonyesha umelala vibaya leo au swaumu kaliiii

i see nivea kuna kitu wanawake hamkijui wengi wenu, mwanaume anaanza kwa kutamani ndo anatongoza wewe unapo tongozwa na kupewa mistali yenye vina basi unajikuta unadondokea kufall into love baadae mwanaume akisha mega na anakuta huna jipya kitu ulicho nacho kama cha mage basi anasepa kimya kimya na kukuachia maumivu.
 
Last edited by a moderator:
khe Tuko hiyo roho mbaya umeitoa wapi leo ?inaonyesha umelala vibaya leo au swaumu kaliiii
Yaani nimeamua tu kuuvaa uhusika wa 'aina ya wanaume' ambao kina dada wengi wanawaingia kichwa kichwa. Mara ngapi nivea nimejaribu kuwashauri wadada kuwa wasiwachukulie wanaume siriaz kiivyo hasa katika hatua hizi?
 
i see nivea kuna kitu wanawake hamkijui wengi wenu, mwanaume anaanza kwa kutamani ndo anatongoza wewe unapo tongozwa na kupewa mistali yenye vina basi unajikuta unadondokea kufall into love baadae mwanaume akisha mega na anakuta huna jipya kitu ulicho nacho kama cha mage basi anasepa kimya kimya na kukuachia maumivu.

Mkuu Fidel80 nashukuru kwa kunisaidia. Unajua wadada wa humu JF hawana tofauti na wengine tunaowaona huku mtaani, Anaitwa bebi leo, anapelekwa lunch, kesho anatangaza ana boyfriend!!! Akishamegwa anapigwa chini alafu anakuja hapa kusema nimechanganyikiwa!!!
Mi niwaambie tu, sio kila mtongozaji ni mtaka mahusiano, sembuse kuoa. take care ladies... We ukiamua kujiingiza kwemye mapenz na mwanaume, take it as fun, untill mfike mahala fulani pa kueleweka..
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimeamua tu kuuvaa uhusika wa 'aina ya wanaume' ambao kina dada wengi wanawaingia kichwa kichwa. Mara ngapi nivea nimejaribu kuwashauri wadada kuwa wasiwachukulie wanaume siriaz kiivyo hasa katika hatua hizi?
sometimes sounds loudly true Tuko hebu nitafsirie hii hapa
"Disappointment is a sort of bankruptcy - the bankruptcy of a soul that expends too much in hope and expectation.
 
Last edited by a moderator:
Welcome to the world huo ndo mwanzo mwaya maswahibu ya hivyo yapo sana kwenye mapenzi,wenzio tushayazoea mpaka moyo umekufa ganzi,POLE! Afterall life goes on..
 
Fidel80 nilitegemea ungeweka 'downstream benefits/interests' into the equation.... yaani unamsaidia kurudishia bikra on condition that utaibanjua mwenyewe teh teh teh

hahahaha shiiiiiiiiiiiiiiiii cartura nataka nikirejeshe kitu katika hali yake ya awali
 
Last edited by a moderator:
"Sikusema naye nilipomuona ufukweni; hakuniona nataka kumsuprise baby wangu,kuna mtuakaja mhika bega baby wangu mara nashangaa wanakiss na baby wangu,niitokwa machozi nikimuona mchumba wangu.......nizikwe hai.pole sana dad.POWER OF LETTING GO INAHUSIKA SANA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom