Ameniacha, i want to forget him.

Pole sana mdogo wangu!! This too shall pass...Mshirikishe Mungu zaidi.
 
shukuru Mungu amekutua huo mzigo...epuka kudate vijana choka mbaya ,ambao wewe ndo unawasaidia ..hawana shukrani..trust me utapata mtu wa ukweli emotionaly na economicaly....

unaongea kwa hisia smile! Whatsup?
 
Which fairness do you need? ...Tutawatenda hadi mchakae... Chezeya wanaume weye..

Na wewe utazaa ..... utapata f a l a anamwambia hivyo hivyo binti yako, jibu lako naomba uje utufahamishe
 
Jamani mimi nashindwa kuelewa....vipi unamhonga mwanaume............................hata kama choka mbaya! Penzi umpe bure, umhonge pesa, umnunulie nguo na mazagazaga mengine. Halafu uje JF ulielie, huoni kama huyo alikuwa tapeli, shukuru kama umeondokana nae.

Just try to think otherwise, vitu ambavyo vibaya you didn't see that time, utaona kakupunguzia mashuzi

......Toeni bure.....
 
Sasa umelia nini? Kwani mama ako alikwambia mwanaume ndo huyo huyo mmoja? Kamata dume la mbegu jingine
 
Pole sana mtoto mzuri usijali pumzika kwanza kwa sababu kuumizwa kwako ina weza kuwa advantage kwa wengine.
 
pole sana, wengi yamewakuta hayo.
Mpotezee na songa mbele na maisha yako.
Ushauri: Usifanye haraka kuingia kwenye rltn nyingine, take a tim to think usije umia tena.
 
ukishaona mwanaume anaweka shida zake mbele kimbia...mwanaume unamnunulia hadi chupi? angekuwa mwanaume kweli asingekuacha ...huyo sio mtu tena shukuru huo mzigo umekutoka ungejuta maishani...jaribu no mbili na tatu utakuja kuona jinsi ulivokuwa unajitesa bila sababu...
mimi sio kwamba napenda mtu tajiri but mwanaume wa kunitegemea siwezi....nashukuru pia moyo wangu ushakufa ganzi..maana wanadai moyo mdanganyifu....

i learnt my mistake bt i blv what goz around kams around! Thanx u dear! He wasnt man enough and he doesnt deserv me.
 
alikua ana ax 4 it mara chache sana and kuhusu nguo t was like suprise, actual he wasnt a bad boy na ndio maana kaniacha kistaarabu bt nashndwa kuelewa alitaka nini cz nlikua honest and i had true love plus was my first guy.

hivi kuachwa kistaarabu ikoje na je huwa huumie?

kuachwa ni kuachwa tu pole utapata anayekustahili
 
alikua ana ax 4 it mara chache sana and kuhusu nguo t was like suprise, actual he wasnt a bad boy na ndio maana kaniacha kistaarabu bt nashndwa kuelewa alitaka nini cz nlikua honest and i had true love plus was my first guy.

Duuh umeachwa halafu you talk gud about the guy, wanaume ni wasanii...amepata alichokitaka amesepa. Lazima ujifunze to see the sign, ushawahi kuona wapi mwanaume akitongoza anakuwa hana ustaarabu au hayuko honest........
 
i had true love plus was my first guy.

kwani kuwa 'your first guy' kunabeba significance gani katika zama hizi za utandawazi? unakuta binti mpaka anaolewa au anapata mwenza wa ku-cohabit naye anakuwa tayari keshaachia kwa watu 20, sasa kwa nini usikitike na huyo wa kwanza anyway?
 
Sasa umelia nini? Kwani mama ako alikwambia mwanaume ndo huyo huyo mmoja? Kamata dume la mbegu jingine

nimelia cz i was at climax ov his sweet luv, i neva though i wil one day apart him..
 
kwani kuwa 'your first guy' kunabeba significance gani kama zama hizi za utandawazi? unakuta binti mpaka anaolewa au anapata mwenza wa ku-cohabit naye anakuwa tayari keshaachia kwa watu 20, sasa kwa nini usikitike na huyo wa kwanza anyway?

am speechless.
 
NB: he was my first guy, i neva cheated on him, i am 24 and half.

Ayaaaaaa mama yangu jamaa katindua bikra alafu kasepa
Ushauri wa bure nitafute nikupe utaalamu bikra yako inarudi
Alafu ukipata mme mwingine usimuonjeshe umesikia mtoto mzuri? mpaka aje kuonekana kwa wazazi mfunge ndoa kabisa.
 
Duuh umeachwa halafu you talk gud about the guy, wanaume ni wasanii...amepata alichokitaka amesepa. Lazima ujifunze to see the sign, ushawahi kuona wapi mwanaume akitongoza anakuwa hana ustaarabu au hayuko honest........

my dia nlikua mgeni wa mapenzi..bt now napata mwangaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom