am sick,plz prayer for me!

tafuta unga wa majani ya mlonge,
ukiwa unatumia walau kwa wiki mara mbili,
malaria utaisikia kwa watu tu.

sio malari tu.
hata magonjwa mengi tu. sukari, presha na vigonjwa vengine.
mi huwa wala sichemshi, natafunaga tu zile mbegu zake.
malaria nasikia kwa watu for a decade and half now.
 
..chemsha alovera (kama huna ni PM) changanya na mizizi ya mwarobaini...
gonga glass asubuhi na jioni...
mimi sijawahi kumeza dawa ya malaria ya hospital...zaidi nilimeza chlorokwin nikiwa darasa la saba.

NB:maji mengi yakunywa pia itakuepusha na malaria SUGU.

GWS my dia one!

thnx BAGAH alovera ipo hm tumeipanda ila muarobain ni ngumu kupata vp km nkitumia aloevera pekeyake?
 
Last edited by a moderator:
Chemsha majani ya muarubaini au aloevera.
Mwagia ndani ya beseni lenye majimoto mchemsho wako.
Tafuta shuka jeusi au la rangi(sio jeupe) jifunike nalo huku ukiwa umeinamia beseni hilo,kumbuka kuacha kinywa wazi ili mvuke upitie kinywani.
Na baada ya robo saa funua shuka kisha subiri dk 20 au 30 nenda kapime tena,
ukikutwa na maralia naacha udaktari.

asante mamie, ntafanya hvo ukizingatia aloevera tumeipanda home hakika malaria imepona kwa jina la Yesu!
 
thnx BAGAH alovera ipo hm tumeipanda ila muarobain ni ngumu kupata vp km nkitumia aloevera pekeyake?

mimi huwa nachanganya....nahisi inapiga mzigo fresh..
gonga hata iyo alovera it will help you...ukipata mwarobaini mia zaidi..
 
Eversince i learn't that you are ill my Semegi i 've been prayin' for your speedy recovery!
I truly am lookin' your improvement bt my Shem yo just be care about dawa mbadala what you need ? Before swallow make shure abt side effect!
Coz various medics hizi kalikali ! Hu'attack hadi ki'zaygote!
Mi naogopa kukuelekeza nikajapata lawama!
Are sure huna kiji'zygote ?

hahaa! cna ki-zygote. afu ndo mana nkaulizia dawa mbadala sitaki za hosp! asante kwa kuniombea. . .
 
Kama unaweza kupata shubiri/ aloe vera ukaitafuna au ukachemsha ukanywa juice yake, Malaria hutaiona bibie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom