am sick,plz prayer for me!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
hali zenu wanachitchat, mwenzenu naumwa leo. ni mwezi june tu nimemeza dose ya malaria lakin saiv imerudi. . . naomba kwa wanaofahamu tiba mbadala ya malaria wanijuze make sipendi dawa za hospital.. . .

UPDATES: NAWASHUKURU WOTE WALONIPA USHAURI WA KUTUMIA ALOEVERA/SHUBIRI. BAADA YA KUINYWA USIKU SAIV ULE UCHOVU UMEPOTEA NA MAUMIVU YA MWILI SISIKII TENA. . . ASANTE SANA NA MBARIKIWE!
 
hali zenu wanachitchat, mwenzenu naumwa leo. ni mwezi june tu nimemeza dose ya malaria lakin saiv imerudi. . . naomba kwa wanaofahamu tiba mbadala ya malaria wanijuze make sipendi dawa za hospital.. . .
Pole meza mseto kama malaria sio kali.
 
..chemsha alovera (kama huna ni PM) changanya na mizizi ya mwarobaini...
gonga glass asubuhi na jioni...
mimi sijawahi kumeza dawa ya malaria ya hospital...zaidi nilimeza chlorokwin nikiwa darasa la saba.

NB:maji mengi yakunywa pia itakuepusha na malaria SUGU.

GWS my dia one!
 
tafuta unga wa majani ya mlonge,
ukiwa unatumia walau kwa wiki mara mbili,
malaria utaisikia kwa watu tu.

hali zenu wanachitchat, mwenzenu naumwa leo. ni mwezi june tu nimemeza dose ya malaria lakin saiv imerudi. . . naomba kwa wanaofahamu tiba mbadala ya malaria wanijuze make sipendi dawa za hospital.. . .
 
Chemsha majani ya muarubaini au aloevera.
Mwagia ndani ya beseni lenye majimoto mchemsho wako.
Tafuta shuka jeusi au la rangi(sio jeupe) jifunike nalo huku ukiwa umeinamia beseni hilo,kumbuka kuacha kinywa wazi ili mvuke upitie kinywani.
Na baada ya robo saa funua shuka kisha subiri dk 20 au 30 nenda kapime tena,
ukikutwa na maralia naacha udaktari.
 
Eversince i learn't that you are ill my Semegi i 've been prayin' for your speedy recovery!
I truly am lookin' your improvement bt my Shem yo just be care about dawa mbadala what you need ? Before swallow make shure abt side effect!
Coz various medics hizi kalikali ! Hu'attack hadi ki'zaygote!
Mi naogopa kukuelekeza nikajapata lawama!
Are sure huna kiji'zygote ?
 
au kamisi ''muhogo" huyuu..?
 
Wangu mbona hujampa pole kwanza?
Ok ngoja nimmpe badala yako

charm pole sana, mungu ni mwema sana utapona.

Chemsha majani ya muarubaini au aloevera.
Mwagia ndani ya beseni lenye majimoto mchemsho wako.
Tafuta shuka jeusi au la rangi(sio jeupe) jifunike nalo huku ukiwa umeinamia beseni hilo,kumbuka kuacha kinywa wazi ili mvuke upitie kinywani.
Na baada ya robo saa funua shuka kisha subiri dk 20 au 30 nenda kapime tena,
ukikutwa na maralia naacha udaktari.
 
Pole sana charm
fata ushauri uliopewa na wadau hasa ule wa alovera.

hali zenu wanachitchat, mwenzenu naumwa leo. ni mwezi june tu nimemeza dose ya malaria lakin saiv imerudi. . . naomba kwa wanaofahamu tiba mbadala ya malaria wanijuze make sipendi dawa za hospital.. . .
 
hali zenu wanachitchat, mwenzenu naumwa leo. ni mwezi june tu nimemeza dose ya malaria lakin saiv imerudi. . . naomba kwa wanaofahamu tiba mbadala ya malaria wanijuze make sipendi dawa za hospital.. . .

Pole sana charminglady. Imekuaje kaingia wakati ndio sasa halafu wewe unaugua? Hebu jaribu hio tiba mbadala ulopewa hapo juu ya kufukuzia.
 
Last edited by a moderator:
hali zenu wanachitchat, mwenzenu naumwa leo. ni mwezi june tu nimemeza dose ya malaria lakin saiv imerudi. . . naomba kwa wanaofahamu tiba mbadala ya malaria wanijuze make sipendi dawa za hospital.. . .

Pole dear kunywa mwalovera aumwarubaini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom