am sick,plz prayer for me!

wadau asanten kwa ushauri wenu, hapa nilipo nipo mbele ya glass ya shubiri/aloevera nikiitizama kwa macho ya huruma huku nikitamani ugeuke ladha usiwe mchungu kha! no option ngoja ninywe tu. . .
 
Mpendwa dawa nyingi zimebaki majina ya biashara tu. jaribu kumeza mseto then ufuate muda wa kumeza halaf after one week ukapime tena baada ya hapo uende pharmacy kubwa wakupe ant malaria tablets utakaa zaidi ya mwaka bila kuonana na malaria. get w.s
 
Pole sana, hiyo malaria ishindwe, isijesababisha tukakumiss humu jf, enjoy your weekend!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom