Alphonce Mawazo akabidhi kata ya Sombetini rasmi kwa Ally Bananga

...kama aliambiwa asipite hapo lakini akakaidi na kujiona yeye ni mwamba,basi naapigwe tu kwa maana hakuna namna nyingine...
 
anasema hakuona haja ya ya kukomaa kisa posho ni bora kulala njaa lakini ukawa na amani moyoni mwako... ccm ni wauwaji wanauwa, wanabaka wamewageuza wamasai kitega uchumi lakini juzi wamewageuka wakawauwa na kuwabaka, wengine wakaamrishwa wafanye mapenzi na watoto wao, huu nyama wamekumbana nao zaidi wasukuma na wamasao ambao leo ccm wanapita mitaano wakiwaambia eti msimchague bananga kwakuwa si mmasai, je huyu musa mkangaa aliyekuwa diwani kwa miaka 25 alichaguliwa na kabila gani? ccm ni wahuni, ukiwa ccm ukimuua chadema unapandishwa cheo..
 
tena huyo ajadakwa vizur,angetakiwa akifikishwa hosptl madaktar badala ya kumtibu wanampa bia,wakidhn ni dawa kwa jinsi alivyopauka,hamuwez kutuaharibia jiji letu kila siku
 
Kama jeshi lapolisi litakaa kimya itabidi Red Brigade iingilie na kulinda viongozi na wanachama wetu
 
hii inadhihirisha kuwa huu ni mwisho wa zama za ccm,wamechoka hawana namna ya kujiokoa na hizo vurugu zao haziwasaidii zaidi ya kuchukiwa na wananchi!
 
wangemng'oa pumbu kabsa!!hicho ni kiereere chake,haya jion watoto wanamsubir apeleke chakula

Mbowe na Slaa wametiliaa na ma.....zao. makanada Wanaendelea king'olewa pumbu!aa

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
chadema wamepeleka majina ya waliowapiga, polisi hawakuwakamata, Red Brigade wakaenda kumkamata rpc akasema kwanini chadema wameenda kuwakamata, lema anasema katiba ya jamhuri inaruhusu kila mtu kumkamata mhalifu na ndicho chadema walichofanya...
 
ccm kazi mnayo wehu nyinyi yaani mpo radhi watu wafe ila nyie mshinde,ila si kwa ARUSHA hapo ampati kitu
 
chadema wamepeleka majina ya waliowapiga, polisi hawakuwakamata, Red Brigade wakaenda kumkamata rpc akasema kwanini chadema wameenda kuwakamata, lema anasema katiba ya jamhuri inaruhusu kila mtu kumkamata mhalifu na ndicho chadema walichofanya...

JAMANI, huyo RPC amesomea hata kidogo tu masuala ya usalama wa raia? Ulinzi shirikishi ni kutoka usiku tu kulinda kama sungu sungu? Mambo mengine yanaudhi na kuchefua.
 
polisi waendelee kupuuza, matokeo yake ni mabaya sana..
anasema akina mama na kina baba kifanya mchezo mkachagua kiongozi mbaya na kuendelea kuuweka madarakani uongozi huu iko siku watoto wao watabeba mapanga kutafuta iongozi wanao utaka..
 
Back
Top Bottom