Mgalula MzTz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 438
- 401
Nahitaji kutumia modem hii lkn sioni card slot zaidi ya memory card slot.
Kwa anayejua namna ya kuitumia, anisaidie maelekezo, waungwana.
Kwa anayejua namna ya kuitumia, anisaidie maelekezo, waungwana.