Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
- Thread starter
- #41
--------------------------------------------------------------------------------
Quote: Mwawado
Sitaki kuamini nini kinasemwa hapa!!Lakini nilipata kufanya kazi na mtu makini sana.Nae alinipa maneno ambayo ni key kwenye mambo yangu mengi,Mzee yule aliwahi kuniambia "Be suspicious with Everything" Baada ya Uchunguzi uliochukua karibu miezi 12, Report ilimbana Mkuu wa kitengo kwa uizi,ambaye ndie alikuwa muelekezaji wa kila kitu ili kurahisisha Uchunguzi!,Kwa mazingira ya kawaida mtu huyo usingeweza kumfikiria kuwa ndiye mwizi Mwenyewe!!!
Sasa Waungwana tuwe waangalifu na tupime kila kitu kwa uzito wake."Sio kila aendae kanisani ni mcha Mungu".Tusiyakanushe yasemwayo sasa na wala tusiyakubali moja kwa moja ,lakini lazima tuweke (?) na kusubiri Uchunguzi.
Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja. Maneno mazito hayo mkuu kama unakumbuka vizuri wakati tetesi za jaribio la kumuua Moringe Sokoine alipokuwa anatoka kusali kanisani na baadaye kwenda kutibiwa nje na aliporudi Mwalimu alikuwa safarini Mozambique, nafahamu kuna watu wana picha zile zilizotoka Daily News wakati ule na alihamisha kambi ya kusali ikawa ST. Joseph, pia mauza uza yaliyojitokeza baada ya kifo chake baada ya yule rubani kwenda na hamsini zake. Tusubiri tutaona mengi.
Je, huyo dereva alitokomelea wapi? Hivi sasa yuko wapi?
Mwawado na Dua,
Waheshimiwa mumesema maneno ambayo yamelenga moja kwa moja na nia hasa ya kuweka hii thread. Hadi sasa hakuna ushahidi wala hata dalili za kuwa aliyetaka kuuwawa ni Zitto, na wala sikusema hivyo. Kwanini isiwe ni Mbatia ametaka kuuwawa? Kwanini isiwe ni yeyote anayetaka kuuwawa? Jamani itasaidia sana kama tutashuku na kuchunguza kila kitu kitu ili tusitoea nafasi kwa uhalifu wowote kutokea na pi kuepuka