Aliyesababisha kifo cha Salome Mbatia akamatwa

--------------------------------------------------------------------------------

Quote: Mwawado
Sitaki kuamini nini kinasemwa hapa!!Lakini nilipata kufanya kazi na mtu makini sana.Nae alinipa maneno ambayo ni key kwenye mambo yangu mengi,Mzee yule aliwahi kuniambia "Be suspicious with Everything" Baada ya Uchunguzi uliochukua karibu miezi 12, Report ilimbana Mkuu wa kitengo kwa uizi,ambaye ndie alikuwa muelekezaji wa kila kitu ili kurahisisha Uchunguzi!,Kwa mazingira ya kawaida mtu huyo usingeweza kumfikiria kuwa ndiye mwizi Mwenyewe!!!

Sasa Waungwana tuwe waangalifu na tupime kila kitu kwa uzito wake."Sio kila aendae kanisani ni mcha Mungu".Tusiyakanushe yasemwayo sasa na wala tusiyakubali moja kwa moja ,lakini lazima tuweke (?) na kusubiri Uchunguzi.

Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja. Maneno mazito hayo mkuu kama unakumbuka vizuri wakati tetesi za jaribio la kumuua Moringe Sokoine alipokuwa anatoka kusali kanisani na baadaye kwenda kutibiwa nje na aliporudi Mwalimu alikuwa safarini Mozambique, nafahamu kuna watu wana picha zile zilizotoka Daily News wakati ule na alihamisha kambi ya kusali ikawa ST. Joseph, pia mauza uza yaliyojitokeza baada ya kifo chake baada ya yule rubani kwenda na hamsini zake. Tusubiri tutaona mengi.

Je, huyo dereva alitokomelea wapi? Hivi sasa yuko wapi?

Mwawado na Dua,

Waheshimiwa mumesema maneno ambayo yamelenga moja kwa moja na nia hasa ya kuweka hii thread. Hadi sasa hakuna ushahidi wala hata dalili za kuwa aliyetaka kuuwawa ni Zitto, na wala sikusema hivyo. Kwanini isiwe ni Mbatia ametaka kuuwawa? Kwanini isiwe ni yeyote anayetaka kuuwawa? Jamani itasaidia sana kama tutashuku na kuchunguza kila kitu kitu ili tusitoea nafasi kwa uhalifu wowote kutokea na pi kuepuka
 
Mimi naomba kuuliza hivi:
Hivi kuna mtu hapa anaamini kabisa kuwa sirikali au niseme CCM ina nia ya kumtoa roho Mheshimiwa Zitto?
I don't think so! Hii ni ajali mbaya tu iliyotokea mpaka sasa, nukta!

..katika hali ya kawaida na logical thinking tutasema hapana!wao si wajinga kujitafutia lawana za bure na chuki zaidi!

..ila,kumbuka si wote wenye logical thinking,hasa pale desparation inapopiga hodi!

..i'll keep an open mind on this subject,afterall it's interesting!
 
Mimi naomba kuuliza hivi:
Hivi kuna mtu hapa anaamini kabisa kuwa sirikali au niseme CCM ina nia ya kumtoa roho Mheshimiwa Zitto?
I don't think so! Hii ni ajali mbaya tu iliyotokea mpaka sasa, nukta!

mmh labda watu fulani nisiopenda kuwataja wanaweza kuamini hivyo,watu ambao kila jambo lina mkono wa mtu.

mungu wanamsahau kabisaaaaaaaaaaaa
 
Ajali ni ajali kama zingine nyingi zilizotokea huko nyuma, lakini kusema ajali hii ilimlenga Zitto, sidhani. na je kama ililengwa kwa Mbatia mwenyewe?

kwa mfano, ingawa spika anasema mh. Mbatia alikuwa na safari ya kikazi huko Njombe swali la kujiuliza ni kwa nini atumie Gari Binafsi? Je si kwamba alikuwa anaenda kwenye kampeni za NEC? Jambo ambalo hata safari ya Sumaye nadhani ilikuwa na lengo hilo hilo. sasa kama ni suspicions zingefaa kuelekezwa hapa kwa sababu hawa walikuwa na common interest. mimi naamini hakulengwa Zitto wala Mbatia bali imetokea hivyo kama ajali zingine.
 
Hii ni assassination attempt that went wrong, I said it, yes I said it!

Du! Ama kweli Mwenyezi Mungu ametuumba tofauti,,, mpaka wengine wanafikiri haya,,, Zitto saidia wananchi na washabiki wako wapunguze unazi, hautakusaidia ndugu yangu, watakuharibia hawa!!!
 
Du! Ama kweli Mwenyezi Mungu ametuumba tofauti,,, mpaka wengine wanafikiri haya,,, Zitto saidia wananchi na washabiki wako wapunguze unazi, hautakusaidia ndugu yangu, watakuharibia hawa!!!

Thank you brother, ubarikiwe!
 
ES safari sio ndogo ndugu !

nchi itajengwa na wenye moyo, na ni wachache sana sidhani hata kama 10 tanzania nzima wanafika !
 
Du! Ama kweli Mwenyezi Mungu ametuumba tofauti,,, mpaka wengine wanafikiri haya,,, Zitto saidia wananchi na washabiki wako wapunguze unazi, hautakusaidia ndugu yangu, watakuharibia hawa!!!

ndio maana nikaandika thread kumuuliza mkuu zitto lakini bahati mbaya WENYEWE wakaipiga vita na ikafutwa lakini guess what ? nitaamuliza zitto mwenyewe na nitatundika link hapa mumsikilize kuhusiana na msiba huo !
 
mmh labda watu fulani nisiopenda kuwataja wanaweza kuamini hivyo,watu ambao kila jambo lina mkono wa mtu.

mungu wanamsahau kabisaaaaaaaaaaaa

kwa nini usipende kuwataja mkuu, kwani huo ni uongo ? ni ukweli usiofichika, katika ile thread ya kumuuliza swali zitto kuna mtu kasema ooh, sijui anamjibu zitto kwa niaba yake ( utadhani yeye simjui) ingawa swali lilikuwa directed kwa zitto, akasema kwamba kifo ni cha kawaida, MBAYA ZAIDI akasema sijui kwamba je tunadhani kifo kile ni cha kawaida, akasema nendeni sijui wapi mtaona watu wanavyopiga kelele kuhusiana na kifo hiki. (sasa kupiga kelele kunajustify kwamba zitto alitaka kuuliwa,? je kama alitaka kuuliwa kama mnavyodai, iweje thread ya kumuuliza zitto swali ifutwe hapa ikiwa haiwahusu nyinyi ????)

Sasa nawaambieni yoyote anayetafuta umaarudu kupitia kifo cha huyu mama (baada ya kushindwa kupata mafanikio kupitia kifo cha Amina Chifupa) endeleeni na tabia zenu hizo, lakini mtakapokumbwa na yenu ulizeni maswali hayo hayo mnayouliza sasa hivi !

Shukrani !
 
Juzi juzi kuna dereva kakamatwa . Dereva huyu alisababisha ajali iliyoua watu kadhaa miaka kama mitatu iliyopita...
Sioni ajabu huyu dereva kukimbia.
Kila stori tunayopata tunajaribu kuiexploit politically. Hivi tutafika kwa mwendo huu wa kuzua kila inapowezekana?

ndio maana nilisema sio wote waliopo JF wapo kwa nia njema !!
 
ndio maana nikaandika thread kumuuliza mkuu zitto lakini bahati mbaya WENYEWE wakaipiga vita na ikafutwa lakini guess what ? nitaamuliza zitto mwenyewe na nitatundika link hapa mumsikilize kuhusiana na msiba huo !

you should have done that in the first place.. !
 
Zitto nadhani yuko msibani, lakini namsihi mara apatapo nafasi ya kupitia huu mtandao aseme maneno ya kutudhihirishia wadau kuwa yeye yuko upande upi, je anaamini hii ajali ilikuwa mapango wa kumdhuru yeye au ni maneno tu ya watu wengine ambao hahusiki nao? Hii itamsaidia kujitenga na mazingira yanayoweza kumsaidia kisiasa.

Hata wakati Bw Mudhihir alipopata ajali kuna watu waliihusisha na Zito, sijui kuna nini na ndugu yetu huyu?
 
KadaMpinzani,
Sidhani kama Zitto Kabwe atakuwa na imani kwamba ajali ile ilikuwa imepangwa ichukue maisha yake.

Kulingana na maelezo ya Naibu Waziri Dr.David Mathayo, Zitto alisaidia majeruhi wawili kwa kuwapeleka hospitali. Baada ya kufanya hivyo alirejea eneo la ajali kutoa msaada zaidi.

Nadhani wote wenye MOYO na DHAMIRA SAFI tutawashukuru sana Dr.David Mathayo na Zitto Kabwe kwa msaada wao mkubwa ktk tukio hili la kusikitisha.

NB:

Kauli ya Dr.Mathayo toka gazeti la Majira:
"Nilimuuliza Zitto kama alikuwa na habari ya aliyekuwepo kwenye ajali akasema hakujua, alipita njia na kuamua kukimbiza majerui waliokuwa kwenye hali mbaya," alisema Dk. Mathayo na kuongeza kwamba Zitto alirudi kutoa msaada bila kujua kuwa ndani ya gari hilo kulikuwa na naibu Waziri.

"Baada ya muda alipita Waziri Mkuu Mstaafu Bw. Fredric Sumaye ambaye aliweza kutambua ile Nissan kwakuwa alisema alikuwa safari moja na Mama Mbatia," alisema.
 
kwa nini usipende kuwataja mkuu, kwani huo ni uongo ? ni ukweli usiofichika, katika ile thread ya kumuuliza swali zitto kuna mtu kasema ooh, sijui anamjibu zitto kwa niaba yake ( utadhani yeye simjui) ingawa swali lilikuwa directed kwa zitto,

Hizi ndizo porojo, nilichofanya ni kuuliza kile ambacho wewe ulishindwa kumuuliza. Kama swali lilikuwa directed to Zitto na "unamjua" kwanini uliweka hadharani isipokuwa ulitaka na sisi wengine tusome?, next time una kitu unataka kumuuliza mtu privately kujua maoni yake, tuma email au piga simu au tumia PM!

akasema kwamba kifo ni cha kawaida, MBAYA ZAIDI akasema sijui kwamba je tunadhani kifo kile ni cha kawaida, akasema nendeni sijui wapi mtaona watu wanavyopiga kelele kuhusiana na kifo hiki. (sasa kupiga kelele kunajustify kwamba zitto alitaka kuuliwa,

Hakuna mtu aliyesema ni kifo cha kawaida, ila uhalisia wake ni kuwa siku ile ile wakati ajali hiyo inatokea kuna ajali nyingine ya basi imeua watu watatu kule Kagera, hivi ulisikia? Unajua kuna watu wangapi walikuwa katika ajali nyingine TAnzania wiki ile? Kinachofanya ajali hii kuwa tofauti siyo "ubaya wake" au "ukatili wake" ni nani amefariki katika ajali hiyo.

je kama alitaka kuuliwa kama mnavyodai, iweje thread ya kumuuliza zitto swali ifutwe hapa ikiwa haiwahusu nyinyi ????)

Nani anadai Zitto alitaka kuuawa, kwanini isiwe Sumaye, Mathayo na wengine waliokuwa huko. Sasa kama mtu mmoja anayefikiria hivyo kuwa ni Zitto, na mwingine ni Mbatia mwenyewe, na mwingine ni Mathayo, wewe au mimi tunaweza vipi kuzuia hisia zao. Hivi unafikiri katika mawazo yako kuwa Zitto akisema "sidhani ilikuwa mimi niuawe" itabadilisha mawazo ya watu?

Sasa nawaambieni yoyote anayetafuta umaarudu kupitia kifo cha huyu mama (baada ya kushindwa kupata mafanikio kupitia kifo cha Amina Chifupa) endeleeni na tabia zenu hizo, lakini mtakapokumbwa na yenu ulizeni maswali hayo hayo mnayouliza sasa hivi !

Hilo ndilo tatizo wewe unafikiri watu wanatafuta umaarufu katika vifo vya watu, kuna umaarufu gani hapo? Inaonekana anayetafuta umaarufu kama wenzako kabla yako katika vifo vya ndugu zetu ni wewe na wale wenye mawazo kama ya kwako. Ajali imetokea, na mmeambiwa ni ajali kama ajali nyingine hamtaki kuamaini. Suala la Amina wala usilete hapa maana hatujasahu jinsi gani watu walivyokaa kimya na kumfungia kinywa na alipofariki wakawa wa kwanza kutoa machungu yao! Kifo cha Amina hakikuwa ajali, kilikuwa kifo cha uzembe, kutokuwajibika, na kilichosababishwa na uoga wa watu wachache! Yes I said that too!!

Kifo cha mama Salome ni ajali, na ajali haina kinga! accept it, leave it, lakini hutalazimisha watu wanaofikiri vingine kubadili mawazo.

Shukrani ![/QUOTE]
 
nchi itajengwa na wenye moyo, na ni wachache sana sidhani hata kama 10 tanzania nzima wanafika !

..acha ku-underestimate watu wewe!

..inaonekana hujatembea tanzania!

..nchi haijengwi na wanasiasa pekee!bali wakulima,wafanyakazi,wafanyabiashara na wenginewe nisiowajua!
 
..unajua adui yetu mkubwa ni hizi imani za kichawi tulizozaliwa na kuzikuta halafu tukaziamini...na baadaye baadhi tukazirithi!

..nimesomasoma,naona imani za kichawi zimekaa sana miongoni mwetu!

..sasa,hii ndo adui ya maendeleo kwa tanganyika!
 
KadaMpinzani,
Sidhani kama Zitto Kabwe atakuwa na imani kwamba ajali ile ilikuwa imepangwa ichukue maisha yake.

Kulingana na maelezo ya Naibu Waziri Dr.David Mathayo, Zitto alisaidia majeruhi wawili kwa kuwapeleka hospitali. Baada ya kufanya hivyo alirejea eneo la ajali kutoa msaada zaidi.

Nadhani wote wenye MOYO na DHAMIRA SAFI tutawashukuru sana Dr.David Mathayo na Zitto Kabwe kwa msaada wao mkubwa ktk tukio hili la kusikitisha.

NB:

Kauli ya Dr.Mathayo toka gazeti la Majira:

self explanatory !
 
Hizi ndizo porojo, nilichofanya ni kuuliza kile ambacho wewe ulishindwa kumuuliza. Kama swali lilikuwa directed to Zitto na "unamjua" kwanini uliweka hadharani isipokuwa ulitaka na sisi wengine tusome?, next time una kitu unataka kumuuliza mtu privately kujua maoni yake, tuma email au piga simu au tumia PM!

Hakuna mtu aliyesema ni kifo cha kawaida, ila uhalisia wake ni kuwa siku ile ile wakati ajali hiyo inatokea kuna ajali nyingine ya basi imeua watu watatu kule Kagera, hivi ulisikia? Unajua kuna watu wangapi walikuwa katika ajali nyingine TAnzania wiki ile? Kinachofanya ajali hii kuwa tofauti siyo "ubaya wake" au "ukatili wake" ni nani amefariki katika ajali hiyo.

Nani anadai Zitto alitaka kuuawa, kwanini isiwe Sumaye, Mathayo na wengine waliokuwa huko. Sasa kama mtu mmoja anayefikiria hivyo kuwa ni Zitto, na mwingine ni Mbatia mwenyewe, na mwingine ni Mathayo, wewe au mimi tunaweza vipi kuzuia hisia zao. Hivi unafikiri katika mawazo yako kuwa Zitto akisema "sidhani ilikuwa mimi niuawe" itabadilisha mawazo ya watu?

Hilo ndilo tatizo wewe unafikiri watu wanatafuta umaarufu katika vifo vya watu, kuna umaarufu gani hapo? Inaonekana anayetafuta umaarufu kama wenzako kabla yako katika vifo vya ndugu zetu ni wewe na wale wenye mawazo kama ya kwako. Ajali imetokea, na mmeambiwa ni ajali kama ajali nyingine hamtaki kuamaini. Suala la Amina wala usilete hapa maana hatujasahu jinsi gani watu walivyokaa kimya na kumfungia kinywa na alipofariki wakawa wa kwanza kutoa machungu yao! Kifo cha Amina hakikuwa ajali, kilikuwa kifo cha uzembe, kutokuwajibika, na kilichosababishwa na uoga wa watu wachache! Yes I said that too!!

Kifo cha mama Salome ni ajali, na ajali haina kinga! accept it, leave it, lakini hutalazimisha watu wanaofikiri vingine kubadili mawazo.

Shukrani !
[/QUOTE]

haya !
 
Back
Top Bottom