1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 603
kiongozi mmoja wa c.u.f
aliwahi kusema kuwa
kuna vyama vitakuja
kama uyoga na vitakufa
kama uyoga.hakuishia
hapo akaendelea kusema kuwa c.u.f ni
kama mti mrefu ambao
mizizi yake imejichimbia
mbalii chini,hivyo upepo
unaweza kuyumbisha tu
mti huwu na sikuung'owa.sasa
utaona kuwa kuna watu
wanatamani waone c.u.f
inakufa na hawo
wanajiita wapinzani
hizo ni ndoto za alinacha,watoke
watakaotoka waliobaki
wataimarisha chama
jamhuri ya mungano ni
baina ya nchi mbili
tanganyika na zanzibar tayari c.u.f iko ndani ya
serikali katika upande
mmoja wa jamhuri
ni hatuwa nzuri.
Huyo kiongozi ni nabihi au ni kama Sheikh Yahya?kama ni mtabiri basi yeyote hata mimi naweza kutoa kauli kama yake,lakini ukisimama kwenye reality Cuf inameguka,hata N.c.c.r ya Mrema ilianza hv