Aliyekuwa mgombea ubunge Igunga kupitia CUF ajiondoa chamani

Pale cdm itapita bila kupigwa. Na sio chaguz hiyo tu bali zote za marudio. Nape na wapinzan wengine wasijisumbue.
 
Kuna siku nilisema napendekeza mh. Hamadi rashid wa cuf ahamie cdm.. I wish angefanya hivyo soon for the sake of zanzibar people. Viva chadema, viva m4c.
 
Huyu jamaa wao igunga mwenye mtaji wa kura 11000 Leopold Mahona kwa sasa atagombea kupitia kwa 'MTIKILA'
 
Back
Top Bottom