Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

Angalia Sura Zao Hawajapenda Mamluki Kuvamia Chama Chao..anatoka Mtu upinzani anaingia CCM anakuwa balozi,naibu Waziri,mkuu wa wilaya na Das wao vijana wa ccm wapo wanasugua mabenchi kwenye vijiwe vya kahawa hata bendera za chama hawataki kupandisha wanawaachia Wafungwa.
 
Hiyo picha hapo juu ni ya cku nyingi...hajajiunga bhana ni uzushi tu
Nassary mwenyewe ajitokeze kukanusha hizi tetesi maana zimekuwa kero kwa wengine.

Kama amehama chama si atangaze wazi wazi badala ya kuvizia vizia kama binti anayeliwa kwa mara ya kwanza!!!

Siasa hazifanyikii chumbani ni overt operations
 
Tulia kajiunga huyo, vyanzo vyangu vinanijuza, that boy is so insecure I never thought!.
Jaribu kuulizia vzr mkuu...jamaa naamini wanatuchezesha akili tu...mbona walioko arumeru wanapinga kuwa c kweli??
 
Jaribu kuulizia vzr mkuu...jamaa naamini wanatuchezesha akili tu...mbona walioko arumeru wanapinga kuwa c kweli??
Kwanini hutaki kuamini, hapo chini ndio kapewa mic anaanza kutema pumba za kuhama Chadema, wakati ukweli alitongozwa akakubali kutoa mwenyewe.
Screenshot-2020-07-08-at-12.54.06.jpg
 
Sasa ndio nimeamini, kumbe ile strategy yake ya kuwa mtoro bungeni ilikuwa "project" waliyoitengeneza ili akimbie Chadema.

Nilidhani kajamaa kameishia tu kuwa na sura ya kitoto, kumbe mpaka akili, binafsi nilimshangaa sana kwa lile kosa la kitoto alilofanya wakati ule, kumbe alitumwa..

Huyo mtoto namjua vizuri, toka wakati ule anatoroka bungeni nilijua kuwa kashavuta za ccm. Alipoanza tu kuongea lugha za kujipendekeza kwa ccm, sijui mara kashiriki ziara za viongozi wa serikali, pale nikajua hamna mtu.
 
Wabunge wengi wa Chadema wanajua kwa awamu hii ni either wasigombee na kupoteza muda na fedha au waunge mkono juhudi. Wengine wameamua kutumia miamvuli ya vyama vingine.

Kwasasa kupona kwa Chadema ni kuungana na ACT wamsimamishe Membe. Lakini watapoteza ushawishi kwa ACT ambao wanauhakika wa viti vingi kutoka Zanzibar.
 
Back
Top Bottom