Aliyekuwa katibu wa CHADEMA Mara ajiunga CCM

Kwa mtazamo wangu, hilo ni pigo kubwa kwa cdm. Mkoa wa Mara ni ngome nyingine ya cdm na yeye kama ndiye alikuwa mwenyekiti, basi alifanya kazi nzuri. Kwahiyo kuondoka kwa staili hii itasumbua kidogo. Cdm wanatakiwa wajipange upya na kumaintain heshima yao huko. Kuhusu kurudi ccm kwa huyo jamaa na hao vijana, mimi sishangai sana. Ccm inawapa watu hela kurudisha kadi ili mikutano i shine! Hali ya nchi ni mbaya, watu hawana uhakika na mlo wa siku, kwahiyo akilipwa akarudishe kadi haoni tabu. Ila rohoni anajua kabisa ccm hakuna tumaini. Poleni sana wanachadema maana ndio walengwa wakubwa wa mpango mzima wa ccm.
 
Sometimes you need to loose so as to gain more!Hence dont panic little boy,just observe the movements.
 
Hii ni issue nzuri sana, kwani ninahakika atakuwa amepatiwa chochote kitu ili aboreshe maisha yake na hilo ndilo lengo la CDM (Kuborsha maisha ya watz), Mmoja akipatiwa pesa anatafutwa mwingine ambaye zamu yake itakuwa kesho, mpaka 2015 vijana wengi watakuwa na mitaji ya kuendeshea maisha yako watakayoipata free of interest or returning obligations. CCM need to set aside a lot of money for this kind of game kwa sababu CDM si mtu mmoja ni wananchi waliochoshwa, akiwekwa mtu mwingine atafanya vizuri tu.

Ila CCM wajue kuwa wanaicheza ngoma inayopigwa na CDM bila kujijua, badala ya kufikiria jinsi ya kutatua matatizo ya wananchi wanafikiria jinsi ya kutatua tatizo la CDM kukubalika. Tambwe Hiza alikuwa mtoto wa kijiweni tu, ila kwa kutumia mtaji wa kugombea ubunge TMK akiwa CUF aliweza kupokea mlungula na kuachia CCM wachakachue, leo hii jamaa anamiliki daladala, na bar maarufu TMK. Ila wajue kuwa people are watching them very closely.
 
Jamaa katumia uhuru wake apendavyo yeye.Lakini haya tuliwaambia siku nyingi humuhumu JF kwa wale ma-coconut wa CDM juu ya issues za viti maaluma, ufisadi ndani ya chama na mengineyo.Haya yalitokea Mbeya na sasa Mara, nyie ni matusi na kufunika vichwa kama mbuni ardhini!!!!Msije shangaa megi zaidi, kwani huwa hamkai kutazama makosa yenu, makosa ni ya mgamba tu!Nina uhakika you dont know what will hit you next
Gwakisa what a wonderful name , kwakiumbe usiefikiri nje ya box ! Cdm , silazima iendeshe chama kama the Gambaz/ccm, tunahaki ya kubuni muundo wetu ktk kuendesha movement zetu.Kwamoyo mweupe nasema kwa watu wa aina ya karunguyeye huyo, pse let him go ! Mtu anabwabwaja kuwa Cdm ni kosa kuendeshwa kama taasisi, ni vyema ajiunge na ccm, kwakua kule kuna watu wenye akili nyepesi, wanaoendesha chama kama kundi la wadokozi wa mali ya umma.
 
Breaking News: PIGO CHADEMA MARA

Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi.

Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:

  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge

Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani

More UP DATE to follow
Huyo katibu Nyanza Sibitari ni wa mkoa? Kama ni katibu wa mkoa kwa mujibu wa vyanzo vyangu alishasimamishwa madaraka hayo muda mrefu sana na alibakia kuwa mwanachama wa kawaida tu. Inawezekana baada ya kuona unafiki wake umeshajulikana akaona mustakabali wake umeshakwisha hivyo kuamua kujiunga na CCM.
Mtu hakatazwi kujiunga na chama chochote lakini kama una akili nzuri sishauri kiongozi wa upinzani kujiunga na CCM kwa maana mwisho wako uko karibu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Njaa ilimfanya Esau akauza uzaliwa wa kwanza.
 
Anaahidi kuanza kufanya mikutano ya Hadhara kuanzi kesho akizunguka kata zote za Musoma Mjini akiambatana na hao vijana kusambaza sumu kaali kuhusu mambo ya ndani ya CDM, Huyu ni hatari kama ukoma maana katika kipindi hiki ambacho aliyekuwa mbunge wa Musoma kaahidi kuahakikisha bei ya sembe inashuka kwa chini ya shilingi mia nane watafanikiwa kudhoofisha nguvu ya Chama mkoani.

Apate maoni toka kwa Shitambala kabla ya mikutano yake.
 
Huyo katibu Nyanza Sibitari ni wa mkoa? Kama ni katibu wa mkoa kwa mujibu wa vyanzo vyangu alishasimamishwa madaraka hayo muda mrefu sana na alibakia kuwa mwanachama wa kawaida tu. Inawezekana baada ya kuona unafiki wake umeshajulikana akaona mustakabali wake umeshakwisha hivyo kuamua kujiunga na CCM.
Mtu hakatazwi kujiunga na chama chochote lakini kama una akili nzuri sishauri kiongozi wa upinzani kujiunga na CCM kwa maana mwisho wako uko karibu.

Asante kwa kutuhabarisha. Kumbe ni garasha
 
Breaking News: PIGO CHADEMA MARA

Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi.

Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:

  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge

Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani

More UP DATE to follow
bwahahahaaaaaaaaaaaaaa:teeth: Hawafiki 2015,, watatimka wote
 
Breaking News: PIGO CHADEMA MARA Katibu wa CHADEMA wa Mara Nyanza Sibitari amerejesha kadi rasmi jioni hii katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na aliyekuwa mbunge wa Musoma Mjini Vedasto Manyinyi. Sibitari aliyeongozana na vijana wengine 126 na bendera na Kadi za CHADEMA anadai kuwa kajiengua CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
  • CHADEMA Kuendeshwa kama Taasisi na si chama
  • Kushamiri kwa makundi ndani ya Chama hicho
  • Mgogoro ulioanza toka nyakati za uteuzi wa viti maalumu hadi Ubunge
Anadai alipotea na sasa karudi nyumbani More UP DATE to follow
Naomba usipotoshe umma,hii si breaking news kwani mtu huyu alisha fukuzwa kwenye chama siku nyingi.yawezekana kwa kuwa alikuwa katibu atakuwa alikuwa na masalia ya kadi.
 
Gwakisa what a wonderful name , kwakiumbe usiefikiri nje ya box ! Cdm , silazima iendeshe chama kama the Gambaz/ccm, tunahaki ya kubuni muundo wetu ktk kuendesha movement zetu.Kwamoyo mweupe nasema kwa watu wa aina ya karunguyeye huyo, pse let him go ! Mtu anabwabwaja kuwa Cdm ni kosa kuendeshwa kama taasisi, ni vyema ajiunge na ccm, kwakua kule kuna watu wenye akili nyepesi, wanaoendesha chama kama kundi la wadokozi wa mali ya umma.
Mkuu endelea kufikiri outside the box.
Kama nilivyosema you aint seen nuthin yet!
Alivyokuwa CDM hakubwabwaja alikota tu ndio anabwabwaja, maneno ya mzama maji.
Na huko CDM mtajikuta wengi tu wanaondoka wakabwabwaje huko kwa "magamba" wakati vichwa vyenu vimo ndani ya mchanga.
 
Sababu zake zinareflect uwezo wake,ameenda chama kinachoendana naye hasa kiakili na kimawazo.
 
Ni bora aondoke aende kwa magamba wenzake,chadema tunaitaji watu wenye fikra zilizofunguka,sio wanaowaza kwa kutumia makamasi kama MAGAMBA
 
Kama kweli alikuwa anahitaji mazingira mazuri ya kisiasa basi chaguo halisi ni pale alipokuwa, lakini kitendo cha kwenda ccm ni sawa na baadhi ya wana wa israel kurudi utumwani misri ilihali nchi ya ahadi yenye maziwa na asali ni cdm!!
 
Ni bora aondoke aende kwa magamba wenzake,chadema tunaitaji watu wenye fikra zilizofunguka,sio wanaowaza kwa kutumia makamasi kama MAGAMBA
umeshasahau kwamba jana tu alikuwa mwanachama hai wa chadema. Mbona hukusema haya ? bw3ge kweli wee
 
Back
Top Bottom